Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa tulipofikia. Matatizo yote yameletwa na Raisi Samia
1. Hakufanya utekelezaji wa tume ya Hakina jinai
2. Hatukuwa na Tume Huru ya uchaguzi
3. Serikali kuhusishwa na utekaji ya yeye Raisi kufumbia Macho
4. Hakuchaguliwa ndani ya Chama kwa kufuata utaratibu
5. Alifunga wapinzani bila sababu na kuwazuia kugombea
6. Alitengua wagombea ndani ya CCM walioshinda kura za maoni
7. Alihusishwa na ufisadi hasa kwenye jeshi na usalama wa taifa
8. Mtoto wake kauhusishwa na utekaji wa Raia na wapinzani wake
9. Alidharau mawazo ya wazee wa taifa Tibaijuka na warioba
10. Alipendelea ndugu na hawakuwa wanapigwa kwenye chaguzi
Sasa kwa Dharau hizi unaunda tume kuchunguza kilichotokea wakati mhusika wa kwanza ni wewe mwenyewe!!!