PostGE2025 Je, ‘Tume ya Rais’ inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Rais Samia!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa tulipofikia. Matatizo yote yameletwa na Raisi Samia

1. Hakufanya utekelezaji wa tume ya Hakina jinai

2. Hatukuwa na Tume Huru ya uchaguzi

3. Serikali kuhusishwa na utekaji ya yeye Raisi kufumbia Macho

4. Hakuchaguliwa ndani ya Chama kwa kufuata utaratibu

5. Alifunga wapinzani bila sababu na kuwazuia kugombea

6. Alitengua wagombea ndani ya CCM walioshinda kura za maoni

7. Alihusishwa na ufisadi hasa kwenye jeshi na usalama wa taifa

8. Mtoto wake kauhusishwa na utekaji wa Raia na wapinzani wake

9. Alidharau mawazo ya wazee wa taifa Tibaijuka na warioba

10. Alipendelea ndugu na hawakuwa wanapigwa kwenye chaguzi

Sasa kwa Dharau hizi unaunda tume kuchunguza kilichotokea wakati mhusika wa kwanza ni wewe mwenyewe!!!
 
Huyu Sheikh Hasina anatakiwa kuondolewa madarakani kwa nguvu. Hapo alipo anatapatapa tu na kuwapotezea watu muda.
 
Hiyo ni watu waliokuwa chini ya mfumo huu huu kandamizi, Msitegemee kuna kitu kitafanyika, wote ni wahuni hao. Wale mtakaokumbuka watu hao wote walikuwa wapindishaji sheria, hawafai hao majaji.
 
ili haki ipatikane inahitajika tume huru ya nje isiyofungamana na serikali wala tume ya ndugu samia
 
ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…