Je, tumeamua kuifanya Tanzania kuwa ‘a pariah state’?

Je, tumeamua kuifanya Tanzania kuwa ‘a pariah state’?

Duh!
Si nasikia lakini mamisaada yanaanza kuflow!

Nchi zote zinazofuata maelekezo ya WHO affiliated to UN wameshapata misaada ya Kifedha na Vifaa Tiba kwa ajili ya Covid-19. Nchi zote za EAC, Central & South wamepatiwa hiyo misaada isipokuwa Tanzania...!!!
 
Pure balderdash.
Whether pure balderdash or 100% gibberish, I can confidently say that probably the not so novel in my eyes 'Covid' unwanted guest hasn't knocked on your door.. if im right and had it presented itself on your doorstep, there are high chances your stance could have been to the contrary, regardless of other factors leading to a pariah state or otherwise... just that one encounter, which could also come in many other forms (other diseases or mishaps), usually turns the tables..

There is definitely a lot of 'conspiracy theories' assumptions going around, but nonetheless this is a real pandemic... and it definitely calls for realistic counter measures... leadership is measured best in the face of adversities, and this particular one is at best judged to the contrary of an appropriate one...

As an example, encouraging mass gatherings, with the pretext of a religious holiday in public beaches, right in the face of such a pandemic is not only outright balderdash but also wishing for juxtaposing outcomes to the desired eradication claims of the same, not so novel in my eyes 'Covid' unwanted guest!

I rest my case... BECAUSE, after all the herd was not even asked to wear the barakoas...and neither were they forced NOT to wear them... hence the usage of the word HERD... with excruciating pain, I say this, and I speak the truth and nothing but the truth, under no duress whatsoever (not even politically or otherwise biased of any sort)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Marekani inayochukua tahadhari zote dhidi ya maambukizi ni ya ngapi kwa maambukizi duniani mkuu?
Marekani ilianza kuchukua tahadhari lini mkuu au ukusikia Trump alivyokuwa anabeza eti ni ugonjwa wa Kichina.
Nchi ya mfano iliyochukua tahadhari mapema ni Ujerumani na hakika wamefanikiwa kwa kiasi chao.
Aidha ltalia ilichukulia janga la Corona kimzaa na matokeo yake yamaonekana.
 
Sijui hizi fikra huwa mnazitoa wapi! Belarus hawajui kuhusu barakoa, lockdown wala nini. Kazi zimeendelea kipindi chote. Mechi za ligi zimepigwa kipindi chote na kubet tumebet na kula na kuliwa tukiwa lockdown huku. Rais anawaambia wananchi wake, "...kabla hujaenda kazini, kunywa glass moja ya Vodka. Kabla hujaenda kuangalia mechi, kunywa glass moja ya Vodka. Corona utaisikia kwa jirani". Belarus haijawa Pariah State!

Lakini kwa Tanzania na kwa hatua zote ilizochukuliwa kwasababu haikuwa na lochdown, tayari unaleta mambo ya Pariah State!! Huu ni ujinga na upumbavu! Na nakuhakikishia, omba uombavyo! Toa kafara uwezavyo, nchi hii haitakuwa Pariah State na itazidi kusonga mbele! Na atakayejaribu kuikwamisha, atakwama yeye!
[emoji106][emoji119]
 
Whether pure balderdash or 100% gibberish, I can confidently say that probably the not so novel in my eyes 'Covid' unwanted guest hasn't knocked on your door.. if im right and had it presented itself on your doorstep, there are high chances your stance could have been to the contrary, regardless of other factors leading to a pariah state or otherwise... just that one encounter, which could also come in many other forms (other diseases or mishaps), usually turns the tables..

There is definitely a lot of 'conspiracy theories' assumptions going around, but nonetheless this is a real pandemic... and it definitely calls for realistic counter measures... leadership is measured best in the face of adversities, and this particular one is at best judged to the contrary of an appropriate one...

As an example, encouraging mass gatherings, with the pretext of a religious holiday in public beaches, right in the face of such a pandemic is not only outright balderdash but also wishing for juxtaposing outcomes to the desired eradication claims of the same, not so novel in my eyes 'Covid' unwanted guest!

I rest my case... BECAUSE, after all the herd was not even asked to wear the barakoas...and neither were they forced NOT to wear them... hence the usage of the word HERD... with excruciating pain, I say this, and I speak the truth and nothing but the truth, under no duress whatsoever (not even politically or otherwise biased of any sort)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswanglish.
 
Very unfortunate indeed. God forbid!
Without a new recommended Tanzania Constitution and an Independent Election Comission, CCM YA MAGUFULI is there to stay.
It needs the Powerful Hand of The Almighty God to get out of this shit!
Hapa sioni lolote la kuchangia naona mbwembwe nyingi , kiingereza, kiswahili, mara CCM mara Corona hata sijui ni nini kinacholengwa sababu tafsiri ya neno Pariah state sioni kuoana na mada labda hii ya kunyimwa mikopo au misaada ya corona!!! Kwani Lazima?????
 
Kwa hiyo kama kuna "Pariah State" basi kuna pia "Pariah Citizens", "Pariah President", au!!

Lakini mtoa mada, anga la Nchi yetu limeshafunguliwa kitambo! Na tumeambiwa ndege zimeshajaa kitambo watalii wa kuja kutuletea mipesa ya kigeni! Sasa tunakuaje tena Pariah State?
 
Wazungu wanasema, " If you don't stand the heat get out of the kitchen". Kama huelewi na mada kwako ni za Moto sepa zako uishie au pita kimyakimya..!!Kwani lazima uchangie?
Kwa taarifa yako misaada ni LAZIMA na muhimu! Hivi unajua Bajeti yetu ni tegemezi kwa more than 40%?
 
Kwa hiyo kama kuna "Pariah State" basi kuna pia "Pariah Citizens", "Pariah President", au!!

Lakini mtoa mada, anga la Nchi yetu limeshafunguliwa kitambo! Na tumeambiwa ndege zimeshajaa kitambo watalii wa kuja kutuletea mipesa ya kigeni! Sasa tunakuaje tena Pariah State?

Hivi hao WATALII wanatokea Mbinguni au wapi kusiko na Covid-19? Unakumbuka China baada ya kuruhusu au kufungua Anga Covid-19 ikalipuka upya?
Kuna watu watakuja kama Watalii wataleta Corona!!
 
Bahati mbaya nchi ikiwa a pariah state, wananchi wengi wanakuwa hawajui hilo, wanakuwa wameshazoezwa umaskini, mahangaiko na shida.

Watu wachache wanaopinga kwa nguvu zote haya yanayoendelea sasa ndiyo ngao ya mwisho iliyobaki. Itafika muda watapotea wote either kwa kukimbia nchi, kufa, kuwa jela au kukata tamaa na baada ya hapo, mahangaiko haya yatakuwa normalized.

Bahati mbaya Jumuia ya Kimataifa huwa wanakuwa slow sana kuchukua hatua. Sioni kama taifa tukiwekewa vikwazo au kuvamiwa ila hatutapata wawekezaji wa maana na maisha ya mtanzania mmoja mmoja hayataboreka.

Tunaweza kuishi kwenye hali hii hata kwa miaka 30 ijayo. Inasikitisha ila nadhani ndiyo ukweli.
Umeeleza ukweli mtupu mkuu 'Keynez'.

Wakati mwingine unaweza kukufuru na kutomtofautisha binaadam na mifugo, kama ng'ombe, kuku n.k.

Hawa wapo kwa ajiri ya mfugaji; anaweza kuamua chochote juu yao na wasiwe na la kufanya.

Raia wengi katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu hali hii bado inatusumbua sana.

Anapopatikana kiongozi anayeamua kufanya anavyotaka yeye bila ya kujali matakwa ya wananchi hao, na wao wakamwacha kwa kutojali matokeo ya matendo yake hayo juu yao, hapo ndipo nchi inapoingia kwenye matatizo.

Wapiga kelele, akina Lissu, Zittona wachache wenginewatanyamaza au watanyamazishwa..., sisi wengine tutaendelea kunyamaza.
 
Ni mawazo yako lakini jifunze kuwa positive esp kwa nchi yako.Nchi kwanza mengine baadae.
Katika miaka ya hivi karibuni, kuna mambo mengi sana yamefanyika nchini Tanzania ambayo yamerudisha nyuma sana juhudi za kujenga jamii iliyostaarabika, inayojiheshimu na inayoheshimika.

Leo sitamnyooshea kidole yoyote kwa lawama hizi ila naomba nigusie tu madhara ya kuwa ‘a pariah state’.

Kwa mujibu wa mtandao wa Wikipedia:

“A pariah state (also called an international pariah or a global pariah) is a nation considered to be an outcast in the international community. A pariah state may face international isolation, sanctions or even an invasion by nations who find its policies, actions, or its very existence unacceptable.”

Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa “a pariah state ni taifa ambalo Jumuia ya Kimataifa imeliona kuwa halina hadhi au sifa za kuwa katika Jumuia hiyo. Na taifa hilo kama lisipojirekebisha huwa linaenda kutengwa, kuwekewa vikwazo, na hata kuvamiwa. Katika macho ya dunia, sera, matendo na hata uwepo wa taifa la namna hiyo ni vitu ambavyo havikubaliki”.

Kiufupi kuwa a pariah state, au an outcast siyo jambo zuri. Linakunyima vingi. Ndiyo, utabaki na uhuru wako wa kujifungia ndani na kujiamulia mambo yako wakati wenzako wanajumuika na kufurahi pamoja. Kuwa an outcast siyo jambo zuri kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa taifa.

Kwenye issue ya corona, Tanzania tuliona tuangalie kwanza maslahi ya taifa na tukaweka pembeni jukumu letu kama sehemu ya Jumuia ya Kimataifa.

Kutoa takwimu na taarifa rasmi na za uhakika za mambo kama maambukizi ya milipuko, ni moja ya majukumu yetu. Taarifa hizi zinasaidia dunia na wataalamu kujua mwenendo wa maambukizi na ndiyo msingi wa jinsi Jumuiya ya Kimataifa inatumia kujua wapi pa kusaidia. Fikiria kila taifa lingesema, sisi hatupimi na hatutoi taarifa zozote, leo dunia ingekuwa kwenye hali gani?

Tunatumia takwimu za wengine kuwazodoa kuwa wao corona imewapiga kweli kweli ila sisi takwimu zetu hatutaki kuzitoa.

Tunapowaza kuwa a pariah state, embu tuangalie taifa kama Eritrea limefaidika vipi kwa hali hiyo na ni hasara gani wamepata. Na hapo hata sijazungumzia mambo ya haki za binadamu na utawala wa sheria.

Naomba tujitafakari, nadhani kuna njia bora zaidi kuliko hizi tunazochukua.

NYONGEZA:

Sijui tafsiri rasmi ya kiswahili ya ‘a pariah state’ ila ukiniuliza mimi nitasema ni ‘taifa la kihuni’.
 
You are misusing words.
Wewe kilaza Kiingereza sio Kiingereza Kiswahili sio Kiswahili. Kama unaamua kuandika kwa Kiingereza basi tumia lugha iliyonyooka. Ndio maana wazungu hadi leo wanawaona watu kama nyinyi ni manyani ya msituni.
 
Hivi hao WATALII wanatokea Mbinguni au wapi kusiko na Covid-19? Unakumbuka China baada ya kuruhusu au kufungua Anga Covid-19 ikalipuka upya?
Kuna watu watakuja kama Watalii wataleta Corona!!
Corona iletwe mara ngapi!?

Corona imesambaa Nchi nzima. 'Issue' hapa inaua? Kama ndio kwa kiwango gani na kama hapana ni kwa nini?
 
Njia Rahisi ya kuboresha mwonekano wako
Ni kuvaa Tabasamu wakati wote
Tunaishi kwa Muda
chadema Forever
Jana Kama Leo
 
Back
Top Bottom