Je, tumeamua kuifanya Tanzania kuwa ‘a pariah state’?

Wewe kilaza Kiingereza sio Kiingereza Kiswahili sio Kiswahili. Kama unaamua kuandika kwa Kiingereza basi tumia lugha iliyonyooka. Ndio maana wazungu hadi leo wanawaona watu kama nyinyi ni manyani ya msituni.
Hakuna la ziada hapa, kwa sababu unafahamika vyema hapa ulivyo.
 
Kuna mahali kazungumzia kuhusu "lockdown"? Au mwenzetu kichwa ni kwa ajili ya kubeba masikio,pua,macho na mdomo!?
 
Kuna mahali kazungumzia kuhusu "lockdown"? Au mwenzetu kichwa ni kwa ajili ya kubeba masikio,pua,macho na mdomo!?
Wewe kichwa chako unatumia kubebea nini? Makamasi? Basi sawa. Tanatofautiana.
 
Pariah ni outcast na outcast si lazima kuwa muhuni ni mtu ambaye ametengwa na jamii kwa sababu zozote zile.

Pariah state inatumika unapoongelea nchi. Outcast inatumika kwa mtu binafsi.

Unapotumia outcast kuliongelea taifa kama nilivyofanya mimi ni kukazia tu tabia ya ‘pariah state’, ila kimsingi tafsiri ya Outcast ni kama hiyo uliyoitaja.
 

Kwa hiyo mmeishusha Tanzania kwenye level hii, hadi kupata mifano ya kujilinganisha nayo ni Belarus!
 

Hizo taarifa zenu za corona hivi zinasaidia nini taifa, kwani tunashindana kuwa na wagonjwa wa korona kuwa tutapata zawadi?
Au kutoa taarifa za c
Corona ndo ushirikiano wa kimataifa?
Upuizi mwingine muwe mnapeleka majumbani kwenu
 
Kwa hiyo mmeishusha Tanzania kwenye level hii, hadi kupata mifano ya kujilinganisha nayo ni Belarus!
Wala sio hivyo. Hoja ni kuokoteza misamiati google na kuja kuwatishia Watanzanja. Hivi unajua katika nchi kumi na moja zinazotambulika kama 'Pariah State' na Israel imo? Unajua mwaka 2003 na 2014 Mmarekani maarufu Noam Chomsky aliiweka Marekani miongoni mwa 'Pariah State"? Marekani iliathirika
 
Pariah state inatumika unapoongelea nchi. Outcast inatumika kwa mtu binafsi.

Unapotumia outcast kuliongelea taifa kama nilivyofanya mimi ni kukazia tu tabia ya ‘pariah state’, ila kimsingi tafsiri ya Outcast ni kama hiyo uliyoitaja.
Pariah na outcast ni maneno mawili yenye maana moja, mwandishi wa Post alitaka kujua tafsiri ya neno pariah na mimi nimempa tafsiri.
Anyway nashukuru kwa kuwa wewe unajua zaidi kuliko kiingereza.
 
Takataka,unataka uheshimiwe na wakoloni,pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…