Je, tumejipanga na ujio wa pikipiki za umeme?

Na umeme wetu huu wa 500/= siku umekatika utachaji wapi??
 
Nime ka gugo hapa Jf kwenye haka kauzi nione walau kapicha lakini wapi!!
 
Maamuzi mengi hapa nchini ya kibiashara huwa yanaathiriwa na ukitimba uliopo kwenye mifumo yetu.....kwa kuwa hao hao wanasiasa ndio wafanyabiashara
Ni kweli kabisa mkuu nakumbuka kifo cha reli ya kati baada ya mtoto wa mkulu kuingiza maroli zaidi ya 500, nimekumbuka kifo cha swala bicycle.
 
Bei yake bora boxer una uhakika mambo yakienda ndivyo sivyo unabeba abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…