GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna watu wanawasema Dotto James na Makonda awamu hii wanawasahau Mzee Joseph Butiku na Nyirabu awamu ya kwanza.Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Akifuta mnasema, akiruhusu mnasema pia. Endeleeni kusema
Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.Mwakani yakitakiwa Kufanyika Mkoani Kilimanjaro au Arusha yatakubalika na atakubali kuwa Mgeni Rasmi? Na kwanini kwa mwaka yasifutwe tena ili Pesa zielekezwe katika Miradi ya Kimaendeleo? au Shida zinazohitaji Pesa ili Kuzitatua kwa Watanzania zimeisha na kwamba Tanzania sasa ni Paradiso Mkuu?
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Umemaliza, siongezi neno.Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.
Kama umechunguza hata hii miaka ambayo sherehe zinafanyika gharama zake zimepunguzwa sana.
Somo ni moja tu huwezi ukakesha bar unakunywa bia za laki mbili halafu kesho asubuhi unakopa hela ya supu.
Umenena vyema!Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.
Kama umechunguza hata hii miaka ambayo sherehe zinafanyika gharama zake zimepunguzwa sana.
Somo ni moja tu huwezi ukakesha bar unakunywa bia za laki mbili halafu kesho asubuhi unakopa hela ya supu.
Mbona sielewi kwani hapa anazungumziwa nani?
Aiharibu mara ngapi ??Natokea Kanda ya Ziwa ( anakotoka Yeye Mr. Kujimwambafai Daima ) na sina Desturi ya Unafiki ambao nakuona unao na unaudumisha hapa. Ukweli ni kwamba Mheshimiwa anaendekeza Ukabila na Kupendelea mno Mkoa au Maeneo atokayo kitu ambacho ni Hatari na Kibaya kwa Ustawi wa Umoja wetu kama Watanzania. Kwakuwa una IQ za ' Punje za Mchele ' hutoweza Kunielewa katika hili ila ukituliza vyema Akili zako utanielewa.
Tena kama Mimi ndiyo ningekuwa Yeye Mheshimiwa katika ' Kuwazuga ' Watanzania kuwa sina ' Ukabila ' ningekataa Kushiriki Sherehe za mwaka huu ambazo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza ambako ana DNA nako ' Kiukabila ' na badala yake ningekuwa wa Kwanza Kukubali Kushiriki kama zingefanyika Kisiwani Pemba au Mkoani Singida au Lindi.
Katika hili hata mumtee vipi au mjitetee vipi hii Hisia ya ' Ukabila ' na ' Ukanda ' wake haiwezi Kufutika ndani Vichwa vya Watanzania wenye IQ's Kubwa ambao kila Kukicha ndiyo wanazidi tu Kuongezeka hapa nchini Tanzania. Namalizia kwa Kusisitiza bila haya, uwoga wala aibu kuwa Mheshimiwa apunguze Ukabila na Ukanda ataiharibu hii nchi.
Nimemaliza.
Umenena vyema!
Unaonekana ww ndo Una ukabila,Natokea Kanda ya Ziwa ( anakotoka Yeye Mr. Kujimwambafai Daima ) na sina Desturi ya Unafiki ambao nakuona unao na unaudumisha hapa. Ukweli ni kwamba Mheshimiwa anaendekeza Ukabila na Kupendelea mno Mkoa au Maeneo atokayo kitu ambacho ni Hatari na Kibaya kwa Ustawi wa Umoja wetu kama Watanzania. Kwakuwa una IQ za ' Punje za Mchele ' hutoweza Kunielewa katika hili ila ukituliza vyema Akili zako utanielewa.
Tena kama Mimi ndiyo ningekuwa Yeye Mheshimiwa katika ' Kuwazuga ' Watanzania kuwa sina ' Ukabila ' ningekataa Kushiriki Sherehe za mwaka huu ambazo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza ambako ana DNA nako ' Kiukabila ' na badala yake ningekuwa wa Kwanza Kukubali Kushiriki kama zingefanyika Kisiwani Pemba au Mkoani Singida au Lindi.
Katika hili hata mumtee vipi au mjitetee vipi hii Hisia ya ' Ukabila ' na ' Ukanda ' wake haiwezi Kufutika ndani Vichwa vya Watanzania wenye IQ's Kubwa ambao kila Kukicha ndiyo wanazidi tu Kuongezeka hapa nchini Tanzania. Namalizia kwa Kusisitiza bila haya, uwoga wala aibu kuwa Mheshimiwa apunguze Ukabila na Ukanda ataiharibu hii nchi.
Nimemaliza.
Si jeshi tu na usalama wa taifa pia.Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .