Kesaboso
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 426
- 358
Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza?
Nasubiri majibu yenu Wakuu.
Nadhani hilo swali ungemuuliza huyo muhusika ndo angejibu kwa nni safari hii hataki kutumia hizo pesa kwa miradi mingine, maana maamuzi hutoa yeye, pia ukumbuke anapo ahilisha huwa kuna watu humu pia hulalamika kwa nini aahilishe swala ambalo lipokisheria? Pia umshauri ni lipi jema afanye kati ya kuahilisha na kusherekea.