Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

Jibu ni rahisi tu sherehe zinafanyika usukumani na sisi ni wasukuma
 
Aliwaambia wana Nzega hata yeye mwenyewe hana pesa... alipofika Kahama akazigawa...
Aliposema hawezi "kujipendelea kwa kujenga barabara ya lami Chattle..."
Ngachoka kabisa...
Tuvumiliane tu...
 
Aliwaambia wana Nzega hata yeye mwenyewe hana pesa... alipofika Kahama akazigawa...
Aliposema hawezi "kujipendelea kwa kujenga barabara ya lami Chattle..."
Ngachoka kabisa...
Tuvumiliane tu...

Ndiyo Kwanza 2019 na bado tunae hadi 2025 kama akina ' Mkulima ' Patrick Mgoya ( Mdogo wake wa Damu kabisa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Meja Jenerali Mstaafu Mzee Raphae Muhuga ) na Juma Nkamia hawajashinda ' Mikakati ' yao ya kutaka atuongoze tena kwa 7 X 2 hivyo kupelekea tuendelee kuwa nae hadi 2039 hapo.
 
Tuvumiliane...
 
Mnafiki tu.Hakuna cha kuokoa fedha wala nini.
 
Na kwanini mwaka huu zinafanyika na mwaka ujao hazifanyiki? Hii Kwako Wewe ni Akili au Matope? Nasubiri Majibu yako tafadhali.
Si kweli kwamba mwaka huu inafanyika mwaka ujao haifanyiki, kila mwaka tunaadhimisha Siku ya Uhuru na siku hiyo huwa ni ya mapumziko. Nilichoona kilibadirika kidogo ni gwaride pale uwanjani na watu kutokwenda kula pilau ikulu, mkuu hata kutokupika pilau tarehe 25/12 au ibada kutofanyika church haimaanishi krismas imeahirishwa.
 
Hivi wewe ndio uliochaguliwa kuwaongoza wa Tanzania au kijiba change roho kinakuumiza ??
 
Naona umenena kweli kabisa, hiyo 2020 ni Mwenyekiti wetu wa sacco's ndio atatufaa au yule wa wazalendo
 
Mkuu unaogopa Nini Mhudhuliaji Mkuu akiwepo? Tuanze hapo kwanza Maana Uzi Wako umekaa kioga Sana.
 
Mimi ningekuwa rais ningeadhimisha nyumbani kwangu kama birthday. Wenye wivu mjinyonge
 
UHURU WA NCHI GANI? IVI TANZANIA ILIWAHIPO KUTAWALIWA. ZAIDI YA MKOLONI CCM
 
🤔🤔😶😶😶😶🤨🤨🤨😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…