Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.