Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
hahahaHizi illusion mlizomezeshwa utotoni ndio zinazowaletea shida uzeeni.
Kwenye ulimwengu wa roho hakuna gender issuesMafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.
Kwa Dini yetu mfano alioumaanisha hapo',neno kwa mfano wetu' linaamaanisha kwamba mungu amemuumba mwanaadamu bila kuiga,kunakili ,au kuchungulia popote ni mfano wake yeye mwenyewe sio sisi tunafanana nae kwa lolote,hakukua na kiumbe chenye kufanana na mwanaadam,ndio maana yake.Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.
Mwanamke hakuumbwaMafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.
Sokwe je?, hatufanani naye kweli?Kwa Dini yetu mfano alioumaanisha hapo',neno kwa mfano wetu' linaamaanisha kwamba mungu amemuumba mwanaadamu bila kuiga,kunakili ,au kuchungulia popote ni mfano wake yeye mwenyewe sio sisi tunafanana nae kwa lolote,hakukua na kiumbe chenye kufanana na mwanaadam,ndio maana yake.
sokwe kwa kizungu tunasemaSokwe je?, hatufanani naye kweli?
Kumbe mfano unaozungumziwa n upi?Kwenye ulimwengu wa roho hakuna gender issues
kwa hio malaika hawana gender?Kwenye ulimwengu wa roho hakuna gender issues
mkuu upo juuKuna kale kapambio... Hakunaaaaaaa waaaaaaaaa kufanananaaaaaaa na..... Hakunaaaaaaa wa kufanananaaaaaaa naeeeeee.... Basi hatujaumbwa kwa mfano wake...
Ndiokwa hio malaika hawana gender?
na wale malaika walioshuka toka mbinguni kufanya mapenzi na wanawake wa duniani walikua wamevaa dildo au?Ndio
Hapana walivaa umbo la jinsia! Kumbuka malaika ni roho hivyo anaweza kuvaa umbo lolotena wale malaika walioshuka toka mbinguni kufanya mapenzi na wanawake wa duniani walikua wamevaa dildo au?
pia kumbuka kitabu chenu kinasema roho haitamani mambo ya kimwili, na ndo mana mnasema mkienda mbinguni hamtakua na jinsia, hakutakua na mwanamke wala mwanaume, kwa hivyo roho haina jinsia na haitamani kujamiiana. sasa hao malaika walipata wapi nyege angali wao ni roho?Hapana walivaa umbo la jinsia! Kumbuka malaika ni roho hivyo anaweza kuvaa umbo lolote