Sina majibu ya maswali yakopia kumbuka kitabu chenu kinasema roho haitamani mambo ya kimwili, na ndo mana mnasema mkienda mbinguni hamtakua na jinsia, hakutakua na mwanamke wala mwanaume, kwa hivyo roho haina jinsia na haitamani kujamiiana. sasa hao malaika walipata wapi nyege angali wao ni roho?
na pia kumbuka kuna majini yanawaingilia wanawake nyakati za usiku, na kumbuka majini nao ni roho, sasa wanapata wapi hamu ya kungonoka na wanadamu na wengine wanaamua kuzaa nao kabisa watoto wa kijini?
Kushoto ndi kulia yaani Short and clearSina majibu ya maswali yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kushoto ndi kulia yaani Short and clear
Kuna kale kapambio... Hakunaaaaaaa waaaaaaaaa kufanananaaaaaaa na..... Hakunaaaaaaa wa kufanananaaaaaaa naeeeeee.... Basi hatujaumbwa kwa mfano wake...
Sokwe itakua brother from another motherSokwe je?, hatufanani naye kweli?
Ungetoa hizo maana ungekufa.... Hakuna mfano usio fanana na uhalisia... Endelea na maana zako... Watu walikufa na waliohai ni zaidi ya bilioni 15... Na wote wameumbwa kwa mfano wake... Tuishie hapoUnajua tofauti kati ya kufanana na mfano?
Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rang
Labda ungeuliza hivi: Ni mfano upi huo unaozungumziwa? Wanaofahamu wangejitahidi kukupa majibu!.Mimi kwa ufahamu wangu mdogo nadhani mfano na sura hapa ni zaidi ya ule unaotufanya sisi tuwe wanadamu na tusiwe malaika, bali ni hali ile inayotuweka karibu sana na Mungu kuliko wanyama. Mfano mmoja ni roho ya mwanadamu. Mungu ni roho lakini pia ametuumba sisi na kutupa inayoitwa "pumzi yake". Hatufanani na Mungu kwa jinsi ya mwili bali kwa jinsi ya roho. Mtu akifa ni roho ndiyo inayobaki hapo, mwili unarudi mavumbini.Roho inarudi kwa aliyeitoa (Mhu 12). Huko inahukumiwa kihalali kuishi na Mungu milele ama kutengwa mbali na Mungu milele. Mfano upo kwenye tabia hasa zile ambao ni asili ya mwanadamu. Matendo mema ya Mungu tuliumbwa nayo, tuliharibiwa baadaye na kuumbatia uovu, lakini huo haukua asili yetu.Mungu ni wa milele na mwanadamu aliumbwa aishi milele ila akaharibika. Hapa ndipo neno wokovu linapopata maana kubwa. Hapa ndipo Fundisho la Ufufuo sio ufufuko, bali ufufuo linapata maana. Mwanadamu anaweza kuishi maisha matakatifu akitaka kwa msaada wa Mungu mwenyewe. Nitaendelea na kuwasilisha vifungu vinavyohusika vya Biblia kwani swali ni la KiBiblia.
Mwanamke hakuumbwa
Suratul Iklaas (112),Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.
Suratul Iklaas (112),Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo hapo mwanamke pia na yeye ni mfano wa mungu?
Nimetolea mfano wa jinsia pekee lakini bado ipo mingi maana binadamu hatufanani kwa umbo wala Rangi.