GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika hili nina uhakika na Chuo Kikuu Kimoja tu changu cha SAUT Mwanza kuwa ndiyo kimetoa, kinatoa na kitaendelea kutoa Thinkers na Intellectuals hasa nchini Tanzania na vingine vinajaribu na Kubahatisha tu.
Hongereni mno na sana Wazazi na Walezi wote mliopeleka Watoto zenu ( wenu ) Kusoma Chuo Kikuu bora na mahiri nchini Tanzania cha Mtakatifu Augustine Mkoani Mwanza kwani huko hawaendi tu kupata Vyeti bali wanaenda Kupikwa hasa Brains zao na Watatoka huko wakiwa na Werevu ( Intelligent ) kama Wazanaki ( Mara Tanzania ), Watutsi ( Rwanda ), Wanyankole ( Uganda ) na Wayahudi ( Israel )
Sijaona Chuo kama SAUT Mwanza.