Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Nauliza tu.
Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani. Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima, mfano Mikoa ya Pwani na maeneo mengine.
Alipokuwepo, tumlaumu sana na tulipiga kelele nyingi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta ya kula, enzi hizo mafuta, Lita ilikuwa ikiuzwa Tsh 3200 had I 3500, tulimuona ni mtu katili sana na asiye faa kabisa, na tulianza kuona ni aheri aondoke ili aje mwingine.
Leo hii mbona suala la bidhaaa, mama yangu, ndio Kwanzaa hata haijulikani ni Nani ataweza kuyamuda maisha ikiwa hali itaendelea kuwa hivi, Je, twaweza kumuomba msamaha huyu mwamba kwa tulivyomsema kwa ubaya na kumbe mambo magumu yalikuwa hatua chache tuu baada ya yeye kuondoka?
Ni jambo lipi la auheni ya kimaisha ambalo yeye Magufuli alipoondoka sisi kama wananchi tunanufaika nalo?
Si umeme, si fedha mitaani, si elimu ya msingi na secondary, si bidhaa na nafaka, vyote vimekuwa ni mateso kwa wananchi.
Jua nalo ndo linahasira na vimazao vinvyoota mashambani.
Hii hali inaanzia wapi, Je, tunadeni kwa aliyeondoka?