Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuu, mbona hujibu maswali unaandika upumbavu wako tuu hapa..?Chawa wa JPM mnapambana sana
Huo unaoandika wewe ni ujinga mtupu, matatizo yanasababishwa na kupanda kwa mafuta, hiyo ni vita huko ulaya na vikwazo alivyowekewa Russia, hakuna link na huyo bwana wakoVipi mkuu, mbona hujibu maswali unaandika upumbavu wako tuu hapa..?
Je, kunaunafuu wowote uliodhahiri kwa wananchi baada ya kuondoka adui wetu no moja JPM?
Ni nini cha kujivunia sasa, maisha yameshuka, umeme vipi, chakula bei yake ikoje huko, mafuta nayo, vipi wakulima wanalima?
Umeme wa Rea inaendelea? Vipi tozo inafurahisha na kurahisisha maisha siyo, vipi matokeo ya tozo, barabara mpya za kujengwa bajeti iliypisha hakuna hata moja, wakati walisema tozo itasababisha hayo mambo
Pumbavu, miti na uchafuzi wa mazingira umekithiri baada tu ya JPM kuondoka?Huo unaoandika wewe ni ujinga mtupu, matatizo yanasababishwa na kupanda kwa mafuta, hiyo ni vita huko ulaya na vikwazo alivyowekewa Russia, hakuna link na huyo bwana wako
Mvua kunyesha ni majaaliwa ya Mungu, tuache kuchafua mazingira na kukata miti, sasa huyo boya JPM anahusika vipi?
Acha kulialia tafuta hela. Huyo Bwana wako amekwishaoza kaburini. Imebaki historia, na historia haipigiwi makofiPumbavu, miti na uchafuzi wa mazingira umekithiri baada tu ya JPM kuondoka?
Ni lini tulilia mvua kukosekama kipindi chake?
Je, tozo imekuletea unafuu wa maisha?
Nilijua tuu, mwisho wako ni huu!Acha kulialia tafuta hela. Huyo Bwana wako amekwishaoza kaburini. Imebaki historia, na historia haipigiwi makofi
Magufuli kafa kwa corona msianze kusingizia mifumo sijui upuuzi gani huko.Hatuna deni naye ila tujilaumu kwa kuamini kuwa ni MTU ndiye chimbuko la matatizo na kero yetu. Msingi wa yote ni Mfumo wa Utawala tegemezi (ukoloni mamboleo), ambao Magufuli alishindana nao kama Mtu Binafsi, ukamwondoa duniani
Magufuli aliiletea dharau corona ikamwondoaLaana ya mzee lazima iwatafune sababu kifo chake hakikuwa natural.
Tumia kichwa kufikiri, usitumie kichwa kama dispenser ya mate au Kubebea meno na nyweleNauliza tuu!
Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani! Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima, mfano Mikoa ya Pwani na maeneo mengine,
Alipokuwepo, tumlaumu sana na tulipiga kelele nyingi kuhusu suala LA kupanda bei ya mafuta ya kula, enzi hizo mafuta, Lita ilikuwa ikiuzwa Tsh 3200 had I 3500, tulimuona ni MTU katili sana na asiye faa kabisa, na tulianza kuona ni aheri aondoke ili aje mwingine,
Leo hii mbona suala la bidhaaa, mama yangu, ndio Kwanzaa hata haijulikani ni Nani ataweza kuyamuda maisha ikiwa hali itaendelea kuwa hivi, Je, twaweza kumuomba msamaha huyu mwamba kwa tulivyomsema kwa ubaya na kumbe mambo magumu yalikuwa hatua chache tuu baada ya yeye kuondoka?
Ni jambo lipi LA auheni ya kimaisha ambalo yeye Magufuli alipoondoka sisi kama wananchi tunanufaika nalo?
Si umeme, si fedha mitaani, si elimu ya msingi na secondary, si bidhaa na nafaka, vyote vimekuwa ni mateso kwa wananchi,
Jua nalo ndo linahasira na vimazao vinvyoota mashambani..!
Hii hali inaanzia wapi, Je, tunadeni kwa aliyeondoka?
Wewe umetumia makalio kufikir?Tumia kichwa kufikiri, usitumie kichwa kama dispenser ya mate au Kubebea meno na nywele
Umeandika ushuzi mtupuWewe umetumia makalio kufikir?
Mkuu kitendo cha kujiunga hapa JF tayari ujue akili ninazo.Kwa haraka haraka umebakiza miaka kama 15 ustaafu
Mkuu wewe haya maisha hutoboi hata ukiongezewa hiyo laki kwenye mshahara, usimlaumu baba yetu Magufuli. Hauna akili.
Usio ushuzi ni upi... Ndiyo huu uloandika wewe.?Umeandika ushuzi mtupu
Punguza mahaba, ya kwako yamepitiliza. JPM alikuwa ni rais wa tano wa Tanzania, wamepita wanne kabla yake hivyo unavyoandika inabidi ukumbuke ni sawa na mtoto wa tano kuzaliwa. Wamepita wanne waliomtangulia, hawakufanya lolote lenye haki ya kukumbukwa?.Nauliza tu.
Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani. Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima, mfano Mikoa ya Pwani na maeneo mengine.
Alipokuwepo, tumlaumu sana na tulipiga kelele nyingi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta ya kula, enzi hizo mafuta, Lita ilikuwa ikiuzwa Tsh 3200 had I 3500, tulimuona ni mtu katili sana na asiye faa kabisa, na tulianza kuona ni aheri aondoke ili aje mwingine.
Leo hii mbona suala la bidhaaa, mama yangu, ndio Kwanzaa hata haijulikani ni Nani ataweza kuyamuda maisha ikiwa hali itaendelea kuwa hivi, Je, twaweza kumuomba msamaha huyu mwamba kwa tulivyomsema kwa ubaya na kumbe mambo magumu yalikuwa hatua chache tuu baada ya yeye kuondoka?
Ni jambo lipi la auheni ya kimaisha ambalo yeye Magufuli alipoondoka sisi kama wananchi tunanufaika nalo?
Si umeme, si fedha mitaani, si elimu ya msingi na secondary, si bidhaa na nafaka, vyote vimekuwa ni mateso kwa wananchi.
Jua nalo ndo linahasira na vimazao vinvyoota mashambani.
Hii hali inaanzia wapi, Je, tunadeni kwa aliyeondoka?
Kwani kabala ya vita hali ilikua nzuri?Nenda kaburini kwake kafagie, Sukuma gang bwana mlikuwa mnamuona huyo mrundi kama mungu mtu!.
Halafu unakuta mtu kama wewe kitumbo mbele mbele kwenye vita ya Russia na Ukraine bila kujuwa athari zake kwa uchumi wa dunia.
Mbaya zaidi unakuta nawewe ni msomi ambaye hata kuchanganua mambo umeshindwa! Haya tuambie Kenya na nchi zingine wakaombe msamaha wapi?