Je, tunapaswa kumwomba msamaha Hayati Magufuli kwa tulivyomsema na kumdhihaki? Naona mambo hayaendi sasa

Kwa huyu bibi mipasho hamna lolote, mara tu alipoingia madarakani vitu vikaanza kupanda bei kwa kasi ya ajabu kabla hata ya vita ya Russia na Ukraine.Leo ndio kisingizio,walalahoi wameshamaliza naye bado watumishi wa umma tu.Aendelee na tabaka lake analoliongoza,yeye haongozi watz wote ana kundi lake ndio maana huku chini hashuki kabisa kusikiliza kero ni mwendo wa kupanda madege tu
 
Lamba asali mleta mada, acha mwembwe!! Ha ha haaaaa Kama mazuri vile!!!
 

Tuliombe msamaha jizi la kura?
 
Hili ni genge la Sunk Cost Fallacy

Siku zenu zinafikia tamati

Mtashindwa tu

Wahasama hawa na mchezo wa kuanzisha uzi kwa michomo ya hisia na uchokozi wa mihemeko
Ukijibu wanaanza matusi bila ya kujibu hoja huku wakiendeleza makombora kwa kudhihaki.

Nawajua, Nitawasaka Nawatashindwa.
 
Huyu Bibi tozo simpendi lakini ukimfananisha na Lile dikteta katili uaji huyu Bibi anamuacha Mwenda kuzimu mbaali sana. Yaani Yaani lile jamaa halikusatahili kuongoza hili taifa hata kwa wiki moja tuu, amelinajisi sana taifa.Na ashukuriwe Mungu wa mbingu na nchi kwa ukuu wake.
 
Spiritually unapoint nzuri sana watakaopinga pia ni Uhuru wao na haki yao pia
 
Hiyo ni trailer tu, bado Movie yenyewe, yakhe.
Bado kitambo kifupi kila Mtanzania atakiri kwa kinywa chake kuwa, JPM alikuwa mkombozi wetu.
 
We fala kweli,hiyo atasimangwa hadi huko huko kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…