Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam.
mfano walianzisha moto msikitini na kule Belfast Northern Ireland tumeshudia waprotestant na wakatoliki kuweka tofauti zao kando kwa lengo la kupinga wahamiaji waliokithiri.
Je ndiyo mwanzo wa zile vurugu za Dini, ambazo biblia ktk ufunuo ilitabiri zitapelekea Serikali za Dinia kuungana pamoja kupiga Marufuku Dini? Nini nafasi ya Serikali ya Kidini ya Iran inayoongozwa na Supreme leader Ayatollah Ali Khamenei? Je itabidi ili unabii huu utimie Serikali hiyo iondolewe madarakani kupisha Serikali itakayo endana na Matakwa ya Dunia ya kupiga Dini marufuku?
View: https://x.com/RadioGenoa/status/1819833687745396839