Je Tunashuhudia Uangamizo wa Western Civilization?

Je Tunashuhudia Uangamizo wa Western Civilization?

Uzi mzuri sana kuwahi kuandikwa humu, upelekwe jukwa la intelligence ukawe stickertivity maana unafikirisha sana yanayotokea duniani
 
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni kabisa matukio makubwa yamekuwa Maandamano ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kule Marekani na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uingereza ambapo Waislam wakiongozwa na Meya wa London (Sadiq Khan) wameshinda viti vya Umeya vya Miji Saba: London, Birmingham, Leeds, Blackburn, Sheffield, Oxford, Luton, Wouldham na Rochdale. Ktk mitikisiko yote hii kinachowaumiza vichwa wafuatiliaji wa masuala ya Kisiasa ni kuwa ushawishi wa uislam siyo tu umeathiri wahamiaji wa asili ya nchi za kiislam (toka mashariki ya kati, Asia na Afrika) bali pia wazungu wenye mrengo wa kisoshalisti na kiliberali. Ktika vurugu hizo waandamanaji wanaimba death to Israel, America na kuchoma bendera za Israel America na UK. Kule America tumeshuhudia Vijana wakipigishwa Sala za Kiislam na wao wakishiriki na kuonama kushujudu. Aidha, kotekote katika nchi hizo pamoja na nchi Washirika wao (Ujerumani, Canada, France Australia)tumesikia Waislam wakiwapigisha waandamanaji ile swala inayoashiria kufanyika kwa tukio baya ya ALLAHU AKBARU!! na pia mfano kufuatia Ushindi wa Mameya nchini Uingereza tumesikia Waislam wakijitapa kuwa sasa wanaona njia iko nyeupe ya kuanza kutekeleza SHARIA LAW.
Je matukio yote haya ni kwa bahati mbaya tu?? LAHASHA. Yote haya yanatokana na Mipango ya Siri ya MUSLIM BROTHERHOOD (MB)Taasisi hii ya SIRI inayojificha ndani ya Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii na Taasisi za Kielimu ilianzishwa 1928 na Mmisri anaitwa Hassan Al Banna. Baada ya kupata kibano cha Rais Abdel Nasser, taasisi hii walikimbilia mafichoni Saudia. Mwanzoni mwa 1960s dunia ilishuhudia kuibuka kwa Wahhabi kule Saudi ambao wakawa na Agenda moja na MB ya islimization of the world community. Kwenye miaka 60 waislam wakaanza kuhamia marekani na nchi nyingine za ulaya magharibi kwa wingi. MB wakatumia nafasi hiyo kuhakikisha wana recruit wafuasi wa kufanya DAWA na pia kuanzisha Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii
TAASISI KAMA:
1. Muslim World League Taasisi mama kule Mecca
2. Muslim Students Association- US
3. Council on American Islamic Relations- CAIR
4. Muslim Legal Fund of Amarica
5. Islamic Society of North America ISNA
Dunia imeshuhudia ufanyaji wa DAWA nchini marekani na hasa pale Speakers Corner Uingereza. Siku za Karibuni wakiristo wakasituka na wao wakaanza ku counter mafundisho hayo ya waislam ( pale speakers corner, kule Balboa Park USA
Licha ya Jitihada zote hizi za Wakristo ku counter MB influence, matukio haya ya karibuni yanaweza kumfadhaisha sana Mkirito wa nchi hizo na hata kuingine Duniani; mkiristo anaweza sema duuu inaonekana Islimization cannot be stopped, just as themselves muslims brag.
NATAKA NIWAKUMBUSHE KITU KIMOJA
Ktk 2 Mambo ya Nyakati 20:15 “Akasema: “Sikilizeni kwa makini, enyi watu wote wa Yuda nanyi wakaaji wa Yerusalemu na Mfalme Yehoshafati! Yehova anawaambia hivi: ‘Msiogope wala msihofu kwa sababu ya umati huu mkubwa, KWA MAANA VITA SI VYENU, BALI NI VYA MUNGU”
Haya tunayoyaona inazidi thibitisha kuwa yule Mungu wao, ALLAH anahasira za mwisho mwisho akijua wakati wake wa kuangamizwa upo karibu sana Revelation 12:9-12. Tukiwa tunakaribia zaidi ule mwaka wa 2000 ( yaani 2029) tangu Yesu abatizwe na kutambulika Rasmi kama Messiah tutashuhudia mambo mengi zaidi. Lakini Muwe na Imani yenye Nguvu. Mnamkumbuka Mohamed Morsi? Yule Rais wa kwanza kabisa wa Chama Mshirika wa Muslim Brotherhood kule Misri? Dunia yote na Israel ilizizima alipoingia Madarakani. Yule angeendelea leo hii sijui Israel ingekuwa inazungumza Lugha GANI. Lakini MUNGU WA KWELI kama alivyosema ktk 2Ch. 20:15 vita siyo vyenu ni vyake. Alimnyanyua mmoja miongoni mwao kusitisha Mipango ya Hila ya Muslim Brotherhood.
Pia je mlipata kujua kuwa Marekani na Uingereza licha ya Umwamba wao wote hawaja iweka MB kama moja ya Terrorist Organization?!!
Badala yake MUSLIM BROTHERHOOD IT HAS BEEN DECLEARED AS A TERTORIST ORGANIZATION BY
1. Saudi Arabia
2. Egypt
3. UAE-Dubai
4. Russia

Mataifa yanayo sponsor MB kwa sasa ni:
1. Qatar
2. Iran
3. Turkey

Pamoja na bandiko hili nawawekea tweet za kuonyesha waislam wanavyotikisha western civilization
Tatizo ni wakristo kufanya uongo ni sehemu ya ibada.pia kutumia vitisho Ili kuujengea uislamu taswira mbaya kuwatisha wafuasi wao wasijaribu kuufuatilia uislamu.
 
Indeed things are changing, Islam is not a strange and scary thing anymore in the west.

1. Christianity has lost the influence among young individuals on the West

2. The raise of social media has made the access of information more easier and people becomes immune to propaganda.

3. Israel has lost the influence

To me I this this is the convergence of the culture, if you look on Arab world you will note the same this happening now, Saudi Arabia embrace more modern and western life style.

It is fine to say “ it happen everywhere”

Shining Light
You know these things usually confuse me a lot because it all goes down to colonialization and it get more messier because the western civilization came before the eastern and both are trying to pull each other to make sense out of each other, but again the fact the is discrimination become divide races some seem superior. Capitalism seems to be the major problem when u ask me because yes if draws development but wanting power causes the tragedy of civilization if I am making sense to you miviga
 
Tatizo ni wakristo kufanya uongo ni sehemu ya ibada.pia kutumia vitisho Ili kuujengea uislamu taswira mbaya kuwatisha wafuasi wao wasijaribu kuufuatilia uislamu.
Mkuu nadhani umeandika kinyume kwasababu uislamu ndio una hizo sifa ulizotaja ndio maana unakuta kuna sehemu hawataki ujenge kanisa hii ipo sana
 
You know these things usually confuse me a lot because it all goes down to colonialization and it get more messier because the western civilization came before the eastern and both are trying to pull each other to make sense out of each other, but again the fact the is discrimination become divide races some seem superior. Capitalism seems to be the major problem when u ask me because yes if draws development but wanting power causes the tragedy of civilization if I am making sense to you miviga
I disagree on capitalism as the source of all evil. Capitalism is based on privatization of major means of production, but clearly the term "privatization" to me is a society version of "selfishness" of a person or family. Human beings are capitalist by nature, they are selfish.

A good example is the failure of "socialism and self-reliance", president Nyerere thought that capitalism is evil but consequently those "Shamba la kijiji" "Duka la kijiji" were rooted and failed miserably. It is just like now, we see those in power(some if not all) they use public resources extravagantly.

regarding the decline of western culture, I think it happened everywhere, even here in Tanzania, so many young people lost the faith in religion.

I can't see the future but clearly the religion is the one thing among many with that will surfer.
 
so religion is source of most evil? or religion has brought the sense of civilization? eastern or western?
 
so religion is source of most evil? or religion has brought the sense of civilization? eastern or western?
This one is tough, if we focus on both religion strictly, am sure there is no a middle place that they meet, thus why those who take religion to rhe extreme are called "extremists".
The Torah of Jews, bible (especially Old tast) and Quran , they both have so hard rules.

Do the answer is both yes and no
 
So you do believe on Quran and the old test bible, why not new? I feel like the new one is what it contributes more to the western civilization
 
So you do believe on Quran and the old test bible, why not new? I feel like the new one is what it contributes more to the western civilization
No, I mean Quran of muslims, Talmud of jews and Bible especially Old testament has some odd verses that are not inclusive.

I like new testament, it focus more on individual moral, not much if no offensive issues.
 
So you are also very much suporting the western civilization? but isn't it not mixed up so much with Culture
 
Utaendaje kwenye nyumba ya ibada kufundishwa na shoga?
Hayo mambo huyapati kwenye Uislamu.
Waislamu washaingia huko LGBTQ tayari..

Wakati tunasoma haya mambo kwenye vitabu vya dini tuliona ni kama nadharia tu, lakini baada ya marekani kuvamia nchi za waarabu na kutokea machafuko, waarabu wakawa wanaomba hifadhi katika nchi za Marekani na Ulaya nao wakaona fahari kuwafungulia mipaka na kuwapa hifadhi, mwsho wa siku jamaa wamejaa na wanaonesha wanaishi maisha yao kiasi kwamba hata wale ambao walikuwa wanawasoma Kwa ubaya tu kwenye vitabu wameshuhudia uhalisia wake na kuamua kushawishika kujiunga na uislamu na Kwa Sasa hakuna namna Tena ya kuzuia hilo ,Kuna Aya Moja katika Quran inaelekea Moja ya dalili za mwisho ni watu kuingia katika uislamu makundi Kwa makundi.
 
huo mwisho bado sana. Ni mpaka dunia nzima iwe na dini moja, labda hii ya kiislam mpinga kristo anaweza kujinasibu nayo ateke umma wa muhamed
 
,Kuna Aya Moja katika Quran inaelekea Moja ya dalili za mwisho ni watu kuingia katika uislamu makundi Kwa makundi.
وَرَاَيۡتَ النَّاسَ يَدۡخُلُوۡنَ فِىۡ دِيۡنِ اللّٰهِ اَفۡوَاجًا ۙ‏

And thou seest mankind entering the religion of Allah in troops,

Quran 110:2

Screenshot_20240416-222447.png
 
So you are also very much suporting the western civilization? but isn't it not mixed up so much with Culture
The western civilization was previously built on christianity, now days they are more liberal. As of now i can say that the “western civilization” is undefined
 
The western civilization was previously built on christianity, now days they are more liberal. As of now i can say that the “western civilization” is undefined

True though, this matter is very wide and keeps getting weirder too, so much rights of everything
 
Sidhani kama ulisoma vizuri, uzi wameudit mods na kuna comment wameifuta. Mada sio tatizo ndio maana haijafutwa.
Fikiria wewe unamwabudu Yesu halafu mtu aje aseme Yesu ni shetani......huku ni kukashifu. Yeye aliandika Allah ni shetani.

Nafikiri tuchunge mipaka yetu na tuwe na religous tolerance.

kama ni kala ban basi iwe ni marufuku mada zinazohusu dini na imani kwa namna yeyote ile kuletwa humu. Mada ni nzuri inafikirisha mienendo ya dunia hii juu ya dini na imani zinazotawala dunia hii. Ndivyo ilivyo, sijui kwa nini jamaa kala ban. Hoja hupingwa kwa hoja woga wa nini?
Kishakula banned.
Sean, ni kweli haya masuala ya imani hugusa sana mioyo ya watu na pengine kuumiza. Lakini kama vile ilivyo operation kwamba inaumiza kwa muda huo, bali inakuwa na matokeo yenye tiba kwa muhusika. Jamani someni Quran mjionee wenyewe kuwa kumbe wenzetu walichokuwa wakisema kuhusu Biblia kwenye kitabu chao ndiyo hayo yote yanahusu. Mfano; nikimwambia Wangalata " Naona afya yako haiko vizuri inawezekana ni kwa sababu Shetani wako hajakutembelea" halafu wewe Sean unajibu " Hapana Bwana wako sijakuacha" Je mtu atakosea kukutambulisha wewe Sean kuwa ndiye yule Shetani? Sahihi Bukhari 4950
Screenshot_20240513-133459_WhatsAppBusiness.jpg

Mbili kama Shetani ndiye anajulikana kwa kufanya mambo mabaya kama KUDANGANYA wanadamu, endapo kutatokea kiumbe kikamzidi ujanja shetani na Kwa kweli kikamdanganya shetani nani hapo ndiyo shetani mkubwa? Quran 15:39
Screenshot_20240513-124239_Chrome.jpg

Kama kiumbe ambacho hicho ndiyo huwa kinawatuma mashetani kuwaumiza wanadamu wasio waislamu, je hicho kiumbe tutakosea kusema ndiyo chenyewe ambacho ndiyo KIONGOZI wa hao mashetani? Quran 19:83
Screenshot_20240513-122539_Chrome.jpg
Screenshot_20240513-122539_Chrome.jpg

Kiumbe ambacho hufurahia wanadamu wakifanya dhambi, je si ndiyo sisi wanadamu wote hukiita kiumbe hicho Shetani? Sahih Muslim 2748 b
IMG-20231113-WA0000~2.jpg

La mwisho je mlipata kujua kuwa majina matano kati ya majina 99 ya Bwana Mkubwa tunayemkingia kifua yanathibitisha kile kilicho andikwa kwenye John 8:44?
Haikuwa lengo langu kuyasema haya hapa, bali inanibidi ili kuwatia moyo wakiristo ambao najua kwa namna mambo yanavyokwenda duniani wanaweza kata tamaa na hatimaye wakakosa uzima wa milele ambao ever than before, the everlasting life is around the corner. Kama ni movie ndiyo tunaziona episodes za mwisho mwisho
 
Attachments

  • IMG-20231113-WA0000~2.jpg
    IMG-20231113-WA0000~2.jpg
    60.2 KB · Views: 0
  • IMG-20231113-WA0000~2.jpg
    IMG-20231113-WA0000~2.jpg
    60.2 KB · Views: 0
Sean, ni kweli haya masuala ya imani hugusa sana mioyo ya watu na pengine kuumiza. Lakini kama vile ilivyo operation kwamba inaumiza kwa muda huo, bali inakuwa na matokeo yenye tiba kwa muhusika. Jamani someni Quran mjionee wenyewe kuwa kumbe wenzetu walichokuwa wakisema kuhusu Biblia kwenye kitabu chao ndiyo hayo yote yanahusu. Mfano; nikimwambia Wangalata " Naona afya yako haiko vizuri inawezekana ni kwa sababu Shetani wako hajakutembelea" halafu wewe Sean unajibu " Hapana Bwana wako sijakuacha" Je mtu atakosea kukutambulisha wewe Sean kuwa ndiye yule Shetani? Sahihi Bukhari 4950
View attachment 2989274
Mbili kama Shetani ndiye anajulikana kwa kufanya mambo mabaya kama KUDANGANYA wanadamu, endapo kutatokea kiumbe kikamzidi ujanja shetani na Kwa kweli kikamdanganya shetani nani hapo ndiyo shetani mkubwa? Quran 15:39
View attachment 2989276
Kama kiumbe ambacho hicho ndiyo huwa kinawatuma mashetani kuwaumiza wanadamu wasio waislamu, je hicho kiumbe tutakosea kusema ndiyo chenyewe ambacho ndiyo KIONGOZI wa hao mashetani? Quran 19:83
View attachment 2989279View attachment 2989279
Kiumbe ambacho hufurahia wanadamu wakifanya dhambi, je si ndiyo sisi wanadamu wote hukiita kiumbe hicho Shetani? Sahih Muslim 2748 b
View attachment 2989294
La mwisho je mlipata kujua kuwa majina matano kati ya majina 99 ya Bwana Mkubwa tunayemkingia kifua yanathibitisha kile kilicho andikwa kwenye John 8:44?
Haikuwa lengo langu kuyasema haya hapa, bali inanibidi ili kuwatia moyo wakiristo ambao najua kwa namna mambo yanavyokwenda duniani wanaweza kata tamaa na hatimaye wakakosa uzima wa milele ambao ever than before, the everlasting life is around the corner. Kama ni movie ndiyo tunaziona episodes za mwisho mwisho
Umejitahidi sana kueleza kulingana na uelewa wako.
Jiulize swali dogo kwanza, hivi unadhani Waislam dunia nzima ni wajinga hawaoni haya? hawajui chochote au hawajahi kuhoji kuhusu hivyo vyote ulivyoeleza? Naona ni mtumiaji mzuri wa google, nakushauri uwe unagoogle pia unapoona contradiction au confusion.

Kwa mfano, point yako nambari 1 kuhusu Muhammad kuambiwa na mke wa Abu Lahab kuwa "shetani wako amekusahau"
Unamfahamu Abu Lahab alikua nani? Na mkewe alikua nani?
Nenda usome Quran sura ya 111. Utamtambua hapo Abu Lahab na mkewe. Mimi nakuwekea hapa chini
(111:1) Destroyed were the hands of Abu Lahab, and he lay utterly doomed. (111:2) His wealth did not avail him, nor his acquisitions. (111:3) Surely, he will be cast into a Flaming Fire (111:4) along with his wife,3 that carrier of slanderous tales;4 (111:5) upon her neck shall be a rope of palm-fibre.

Kwa kifupi, Abu Lahab na mkewe walikua wakimpinga Muhammad na wakifanyia dhihaka, kumcheka na kumfanyia hila nyingi sana. Sasa mke wa Abu Lahab unatarajia alipomuona Muhammad mgonjwa ulidhani atamuonea huruma? Huyo maza ndio akamwambia "Vipi shetani wako amekusahau?" Akimaanisha Mungu wako amekusahau.....kwa sababu hakuwahi kumkubali Mungu wa Muhammad.
We una akili fupi unachukua kama ilivyo kuwa Allah ndio shetani. Tafuta elimu kwanza.

Vyote ulivyoeleza hapo ujavyoona vina walakini vina majibu mazuri tu, sema wewe umeamua kutafsiri vile uonavyo wewe. Au Pastor wako alivyokuongopea.

Sina muda sana, ningekujibu vyote hivyo.

Nakushauri uwe una google hivyo hivyo utafute majibu pale unapoona confusion/contradiction, kwa sababu google ndio sehemu yako pekee ya kutafuta elimu.
 
Back
Top Bottom