Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila.
Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani kwa taarifa kwamba Jamhuri hainakusudi lakuendelea Tena na shauri lake ,awamu ya sita nayo imekuja na aina ya watu ambao ingependa wakae ndani. Kwa maana nyingine watu wapo ndani wakisubiri awqmu ya Saba na wapo wanaosubiri kuwekwa ndani na awamu ya Saba hii ikiwa ni njia ya watawala kuumiza watu.
Lini Jamhuri itaacha mtindo huu unaodhidi kulijengea Taifa chuki? Wasiamini waliohusika kukamata kuhoji na kufikisha mahakamani watakuwa marafiki wa waliowakamata iwe wanasiasa au watu wengine. Kama walikamatwa kwa dhuluma miyoyo yao na ya ndugu zao itaendelea kuishi na kinyongo.
TULIPONYE TAIFA MADARAKA YANAPITA TU NA WAKATI MWINGINE YANAPITA YAKUMWACHA MTUHUMIWA GEREZANI HUKU ALIYEMWEKA AKIWA AMEONDOKA DUNIANI.