purchasing power ya kununua nguo kwa muendelezo mzuri wa ku sustain biashara yako ipo? ......maana kuna maduka ya nguo yanafungwa kwa kukosa wateja .Hapa umechemka nchi zote zenye population kubwa zina matajiri wakubwa wengi
mfano mimi ninauza nguo za watoto.Wanavyozaliana kwa wingi ndivyo uchumi wangu unavyopaa kwa spidi ya mwewe.Kwa hili namuunga mkono raisi.Watu wazae sana uchumi wangu upae.Kwa hiki hotuba yake nimeitunza pazuri
kagame ni very smart!!Kagame unamuona jinsi anavyopambana. Kila sehemu huko dunia ya kwanaa kukitokea fursa utamuona frontline hatumu waziri . Pamoja u dikteta wake lakini unaona anajitahidi kuacha kizuri kwa ajilu ta Taifa lake.
Kingine huyu ni kipenzi cha Mataifa ya nje. Hata afanye nini nadra kusikia mabeberu wanaongea chochote. Sasa kama tunamuiga tuige mazuri yake sio tunaiga mabaya tu ya kutekana na kuuana. Sisi tumeiga mabaya sasa jumuiya za kimataifa zimeanza kutunyooshe vidole. Tukipotea kama Taifa hao wanajiita marafiki majirani ndii fursa zaidi kwao kama ulivyo sasa.
Jamaa ni Genious, ujasusi unamsaidia japo simpendi lakini kuna mahala ataifikisha Rwanda kifursa. Sisi tutaachwa soon wakati tulikuwa tunapambana na Kenya uchumi mkubwa Afrika Mashariki. Tutabaki level za Burundi na Sudani ya kusini.kagame ni very smart!!
amechangamkia fursa ya NBA afrika kwa kutengeneza arena iliyoenda shule, hpo kwa vyovyote ni mkakati wa kuitangaza nchi ili kuongeza watalii
vile vile ana mkakati wa kuifanya Rwanda kuwa tech hub ....juzi kati kulikuwa na conference ya wadau wa biashara zinazohusiana drone duniani iliyofanyika kigali.
yaani wenzetu rwanda unaona kbsa wana vision wapi wanataka kwenda tofauti na hpa kwetu ni vurugu tupu za matamko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu wanahitajika sana, Huyo Magufuli akiendelea kujifungia ndani itamsumbua sana. Kuna makubaliano mengi yanafanyika huko nje...Kina Uhuru Kenyatta wanaendelea kupeta na kufanya biashara na mataifa makubwa, Tanzania mmejitenga halafu mnategemea kuwa nchi ya viwanda??? Ebu acheni vichekesho....Muulizeni Magufuli kwa nini anajifungia ndani?Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Hivi wewe mzee huna kazi ya kufanya kutwa Uko jamvini tu Daah maisha yako yatakuwa ya tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi napenda,ifike sehemu,kati ya wahandisi 10,madakitari 10,Watu wa IT 10,maprofesa wa uchumi,ma CEO 10,wanaoajiriwa Afrika,basi watatu wawe wabongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
nakubaliana na wewe whether Rais anatoka nje ya nchi au anakaa ndani ya nchi tu, bottom line ya kuvutia FDI ni level ya political risk, investment climate, costs of utilities, trade unionization, market factors and regime predictability.Kwa maoni yangu,thread yako ya leo imekaa kimzaha zaidi japo inaeleweka
FDI haiji kwa Rais kusafiri nje,FDI itakuja kama nchi itakua na amani na utulivu wa kiuchumi na kisiasa
Salva kiir ameshafanya zaidi ya ziara tano Us na Eu na hakuna anaetaka kuwekeza huko
Tumuache Rais amalize ndoto yake,akiondoka tuchague vasco da gama mwingine
Hakuna jitihada yeyote ya kujenga viwanda, huwezi kujenga viwanda kama huna mfumo mzuri wa elimu, huwezi kujenga viwanda kama huna msingi mzuri wa kilimo, huwezi kujenga viwanda kama huna TISS imara!!Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda
Kama ni hivyo mbona China au India zenye zaidi ya watu 1 billion soko lao siyo kubwa kama la US? Au vinchi vidogo vya ulaya kwa saizi na population zina soko kubwa kuliko sisi? Suala muhimu siyo wingi wa watu bali purchasing power.Hapa umechemka nchi zote zenye population kubwa zina matajiri wakubwa wengi
mfano mimi ninauza nguo za watoto.Wanavyozaliana kwa wingi ndivyo uchumi wangu unavyopaa kwa spidi ya mwewe.Kwa hili namuunga mkono raisi.Watu wazae sana uchumi wangu upae.Kwa hiki hotuba yake nimeitunza pazuri
ndio kwanza nakusikia wewe duka la nguo na chakula huwa halifungwi .purchasing power ya kununua nguo kwa muendelezo mzuri wa ku sustain biashara yako ipo? ......maana kuna maduka ya nguo yanafungwa kwa kukosa wateja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawezaje kujenga ikiwa hatuna kiwanda mama hata kimoja? Hizo mashine tutazitowa wapi? Rabda kiwanda cha kumenya mihogo, maana visu tunaweza kutengeneza wenyeweWanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Paskali hoja yako nzuri sana na ina mashiko sana.Wanabodi,

Umeandika umeeleza mawazo yako, swali langu nchi gani wananchi wanajiendeleza kiuchumi bila Sera dhabiti za kiuchumi kuwekwa na serikali? Unajua nchi za kibepari zimejijenga vipi? Au unaona matokeo ya leo tu? Hamna taifa linaendelea au watu wake wanaendelea bila Sera wezeshi za serikali, HAIPO na HAITATOKEA! Soma historia ya mataifa yaliyoendelea na Ku break poverty chains, kuanzia south korea, marekani yenyewe, China uone kama serikali hazina Mchango! Tuna fail sababu viongozi hawajui wanataka kulipeleka taifa wapi kwa Sera zipi za uchumi!kusema haiwezekani huo ni uongo! inawezekana kabisa tukawa tishio kwa nchi nyingi duniani na tukawa tunatoa misaaada kabisa au hata tanzania shilling ikawa global currency, tatizo sio serikali na tatizo sio magufuli
je tatizo ni nn? simple answer ni sisi wenyewe! utauliza kivp: ebu nenda na hii scenario, mtu anaenda anasoma nje, vitabu vimejaa kila library, achilia mbali maarifa makubwa yaliopo online! tukiyatumia vizuri na tukayafanyia kazi tunakua nation kubwa kabisa, kwa sababu iko ivi! hizi serikali ni kama mashirika mengine, haina tafauti na kampuni ya mtu, biashara ya serikali ni watu, tafaut na biashara zingine ambazo biashara zinatafautiana! hakuna cha kushangaa miaka hii ukiskia mtu ana utajiri mkubwa kuliko nchi, mfano jeff bezoes utajiri wake ni $150b tanzania GDP yetu ni $50B - $60B inamaanisha huyu mwenyewe ni tajiri zaidi ya gdp ya tanzania nzima, in extra ukijumlisha tanzania hata na kenya kwa ujumla bado yeye anakua wa kwanza, sasa kama huyu tayar ana utajiri unaoendana na nchi mbili kwa ujumla wewe unawekaje iman kwa serikali ambayo kuna watu matajiri kuliko serikali, inamaanisha kila kitu kinawezekana miongoni mwetu, sasa tanzania kila kitu serikali serikali, hata vile vitu vidogo vidogo bado mtu atalilia serikali: naelewa kabisa sisi ni socialist lakini ili kuendana na kasi ya dunia lazima tubadilishe mitazamo yetu kuacha utegemezi uliopindukia, serikali ina umuhimu wake lakini tunaitumia vibaya!
kwa mfano, hapa jamii forum unakuta watu wanalalamika mara mishahara, sjui hali ya maisha! yaani alot of things that are really stupid, baadhi ya nchi especially nlizobahatika kutemebelea gahrama za maisha ni kubwa sana, tanzania vitu ni bei ndogo sana! mfano kupanga tu hua znarange 200K mpaka 500K kwa dar alone kwa wastan, sasa ukisema commercial city kama newyork hata kwa sku moja haulipi hio bei ya tanzania! nnachojaribu kusema ni kwamba maisha ni magumu kila sehem
mfano, mtu anatoka ofisini akitaka pesa za ziada unakuta anapiga uber ama unakuta anatumia AIRBNB, atleast hizi ndo nlizoona mwenyewe watu wanatumia mbinu nyingi! BITCOIN haina control ya serikali , hii inamaanisha inawezekana bila serikali sasa sisi tunakwama wap ndo tujiulize?
opportunities ni kibao tuache kelele hizi mara mishahara haijaongezwa mwaka wa nne sasa, afterall haitakiwi kuongezwa