Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

Umepata breakfast/lunch/dinner mkuu? Bureau de Change walikuwa wanatakatisha pesa huko wala usiende, hakuna mahali popote biashara ya ulanguzi inakubalika. Mkuu kuandikisha gari lako nje ya nchi ni uamuzi wako ukiliandikisha Tanzania lazima ulipe kama vifaa vya moto popote pale ulimwenguni. Hamieni huko kwenye neema hamlazimishwi kuishi Tanzania. Kila mtu Tanzania ni lazima alipe kodi kutokana na kile anachofanya wasiolipa kodi ni wale wanaolipwa kima cha chini.
Tofautisha Kodi na Kodi komozi ili usomeshwe namba.Watarudisha tu biashara zao upepo ukipita.Mbona wachaga walirudisha baada ya Nyerere kupita.Tajiri kukubali kusomeshwa namba ni matumizi mabovu ya akili yake niishi kishetani hali naweza invest nchi jirani upepo ukipita narudi.Ishu ya bureau sio sababu ya kutakatisha, ilikuwa zinaumbua takwimu feki za uchumi unakua thus wakaruhusu mabenki ili wayape bei elekezi lkn figure huwa hazidanganyi pembe la ng'ombe alifichiki still bado shilling imeboromoka haiokolewi kwa kufunga bureau.Jamaa yako alidhani wanafaidi Sana kila pesa apate yeye Kama alivodhan kagomba wanafaidi kwa wivu akaingia akachemsha.Aliyepewa kapewa we nani umshushe
 
Mkuu ilikuwa ni Tanzania pekee yenye utitiri wa Bureau de Change, yaani wewe na akili zako unakubali watu waishi maisha ya kifahari kufanya biashara na pesa zako mwenyewe? (I mean elites). Not in 5th phase of JPM, you better wait and that wait will last forever because the majority of this country have decided to make sure that everybody has an equal opportunity to make it to the top.
 
Wanabodi,!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje.
Paskali
Nikifanikiwa lile jambo langu, nitakusaidia sana nchi yangu kwenye hili, kwasababu mimi ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao tumepiga shule ya AfCFTA kule nchini Africa Kusini.
P
 
Back
Top Bottom