Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama ni mkopo sababu nchi imeyumba kiuchumi.Sio ishu ya kuchapa pesa na kuziingiza kwenye mzunguko. Ila sasa yote haya na thamani ya pesa yao na na za waafrica yanaingialana vipi?
Duh...!. Mabeberu buana, hii Corona wanataka kuitumia kama fimbo ya kutuchapia!.
P
Naona kama ni mkopo sababu nchi imeyumba kiuchumi.Sio ishu ya kuchapa pesa na kuziingiza kwenye mzunguko. Ila sasa yote haya na thamani ya pesa yao na na za waafrica yanaingialana vipi?
Uk govt borrowing could top £300 bil. Basi mimi sijaelewa. SorryMkopo wa wapi mkuu, nani waliyemkopa? Hizo zinachapishwa na mwenye idhini hiyo ni Bank Of England.
Uk govt borrowing could top £300 bil. Basi mimi sijaelewa. Sorry
Ajira zinazotolewa huzioni?Anasema tuzaliane tu wakati hawa tuliopo tu ajira ameshindwa kutoa!
Corrections: Mkuu nadhani itakuwa FDI...ahsante.Umeangalia takwimu ya FID uingiaji wa makampuni mapya ya nje kwenye uwekezaji mpya,umeangalia export, umeangalia purchasing power?Umeangalia marejesho ya mikopo ktk mabenk ? Au unatoa porojo tu
Ajira za polisi,uhamiaji na madaktari wachache kwa mwaka huu? Angalia wanaomaliza vyuo...it is just a fraction of what Magufuli's government is boasting of. Toka 2016 ajira za serikali zilifungwa, mishahara na madaraja hayakupandishwa hadi leo..unategemea ufanisi kazini uwepo? Kama haitoshi ameua ajira binafsi, makampuni yanabambikizwa kodi za ajabu ambazo hazipo duniani (Eti tunaidai Barrick USD 190 Billions....Hiki kiasi hakijawahi kuwepo kwenye mauzo ya dhahabu duniani...mauzo tu tangu makampuni ya dhahabu...sembuse kiasi cha kodi?) Wakati mwingine waafrika tunaonekana ufikiri wetu ni sawa na manyani....Kwa viongozi wa Tanzania wanastahili hilo jina. Unaua makampuni yanayoajiri watanzania na wananchi wazawa wafanyabiashara wanatozwa kodi zisizolipika! Unategemea ajira ziwepo?Ajira zinazotolewa huzioni?
Beberu ni maji ya kunywa,utayanywa au utayaoga hakuna aliyewahi shirikiana na beberu akawa fukara.Nchi zote zilizoshirikiana na beberu zimeendelea zote.Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Shida ni waliokosea kupiga kura,mtu amewataadharisha kabisa nitakusomesheni namba,mtalimia meno ,matajiri wataishi Kama mashetani,vyuma kukaza tafsiri yake takufanyeni muwe masikini dhoofu Hali tauwa uchumi mfe kabisa hii ndio tasfiri sahihi ya maneno hayo na yametekelezwa kwa vitendo.Wenzetu wakenya Raila alipowaadharisha kwa kusema atafanya Kama ilivo tz,walistuka wakaona Bora mkate mzima kuliko nusu mkate leo wangekuwa wanapumulia mashine Kama sisi tulionywa na muhusika hata Nyerere pia alishaonya atukusikia.Cha ajabu majitu yatakosea tena Hali itakuwa ngumu Mara kumi ya hii Hadi hata uwezo wa kupanda daladala tutashindwa.Ajali kuhusu maisha ya watu Bali vitu.Ameuwa ajira,kilimo, uchumi,umoja, ameshindwa kuwadhibiti wasiojulikana kiusalama amefeli,amefeli karibu area zote.Angebakia kwenye mabarabara tena chini ya mtu angalau ndio viatu vinamtoshaAjira za polisi,uhamiaji na madaktari wachache kwa mwaka huu? Angalia wanaomaliza vyuo...it is just a fraction of what Magufuli's government is boasting of. Toka 2016 ajira za serikali zilifungwa, mishahara na madaraja hayakupandishwa hadi leo..unategemea ufanisi kazini uwepo? Kama haitoshi ameua ajira binafsi, makampuni yanabambikizwa kodi za ajabu ambazo hazipo duniani (Eti tunaidai Barrick USD 190 Billions....Hiki kiasi hakijawahi kuwepo kwenye mauzo ya dhahabu duniani...mauzo tu tangu makampuni ya dhahabu...sembuse kiasi cha kodi?) Wakati mwingine waafrika tunaonekana ufikiri wetu ni sawa na manyani....Kwa viongozi wa Tanzania wanastahili hilo jina. Unaua makampuni yanayoajiri watanzania na wananchi wazawa wafanyabiashara wanatozwa kodi zisizolipika! Unategemea ajira ziwepo?
Ajira za polisi,uhamiaji na madaktari wachache kwa mwaka huu? Angalia wanaomaliza vyuo...it is just a fraction of what Magufuli's government is boasting of. Toka 2016 ajira za serikali zilifungwa, mishahara na madaraja hayakupandishwa hadi leo..unategemea ufanisi kazini uwepo? Kama haitoshi ameua ajira binafsi, makampuni yanabambikizwa kodi za ajabu ambazo hazipo duniani (Eti tunaidai Barrick USD 190 Billions....Hiki kiasi hakijawahi kuwepo kwenye mauzo ya dhahabu duniani...mauzo tu tangu makampuni ya dhahabu...sembuse kiasi cha kodi?) Wakati mwingine waafrika tunaonekana ufikiri wetu ni sawa na manyani....Kwa viongozi wa Tanzania wanastahili hilo jina. Unaua makampuni yanayoajiri watanzania na wananchi wazawa wafanyabiashara wanatozwa kodi zisizolipika! Unategemea ajira ziwepo?
Unakopa pesa unapeleka kwenye White elephant project ambazo si za lazima Sana sababu miradi mbadala tayari ipo ni kuziboresha tu,unakopa pesa unazitumia eti kuuwa upinzani ambao umeuukuta na utaondoka utauacha.Halafu unashindwa kuendelea unawalaumu mabeberu utadhani wamekushika mkono.Nyerere aliishi dunia yake iliyoshapita eti unamuenzi kwa kukamilisha ndoto zake vitu visivo na tija kwenye modern world, Nyerere alishapita kizazi cha sasa akimjui Wala hakiitaji kumjua ili kiishi kinataka kutatuliwa changamoto zao za Sasa kuu hasa ni tatizo la ajira.Wao wanatumia vibaya Kodi zetu wanatuletea mambo ya kuenzi vitu vilivoshapita then tunakwama tunawasingizia mabeberu.Check wenzetu wanakopa kwa mabeberu wanawekeza kwenye economic strategic kwanza za kuinua watu wao akishainuka mmoja ndio uchumi wa taifa ndio unainuka.Tanzania imekuwa na ujinga wa miaka mitano mitano ya Maendeleo (Five years development plan) toka wakati wa Nyerere ambayo hadi leo imefeli vibaya. Magufuli na wenzake wamebaki kulalamikia mabeberu tu. Miaka yote tangu uhuru wa Tanganyika tumekuwa tukipewa misaada lakini badala ya kutumia kufanyia miradi ya maana imekuwa ikiendeshea serikali hizo za kidhalimu za Nyerere hadi huyo Magufuli ambaye ndiyo bomu kabisa. Leo anataka asamehewe mkopo kisa CORONA....Kwani hizo pesa zilitumika kwa ajili ya kutibu CORONA au kwa matumizi mengine.
Paskali, Magufuli na Musukuma mtalaamu sana mabeberu lakini tatizo lipo kwenye hao viongozi wabovu.
Bureau de change ngapi ameziua,benk gani,malori mangapi ya tz matajiri wameyakimbizia nje kuyasajili nchi jirani ili wasifirisike, biashara ngapi zimekimbizwa nje mfano tu Tunduma border wafanyabiashara waliamua kuzisajili biashara zao Zambia ili wasifilisiwe,kwa uchache tu ni takribani ajira milioni 3 zimekufa kwa kusomeshwa namba eti kunyoosha.Tazama kariakoo au posta frem zimefungwa utadhani ni jumapili.Ajira zipi mpya zitoke Hali zilizopo tu uwezo wa kuongeza tu mishahara umewashinda.Nafikiria unasoma na kuelewa kwenye Badget ya Bunge, nafikiri about a month kuna ajira zitatolewa kama 50,000 hivi approximately hizo ni za Serikali hujaweka private sector etc.
Mishahara unayolalamikia madaraja yatapanda nk. tatizo walilonalo wengi hawafahamu kwamba JPM alipoingia madarakani alikuta hazina kweupe. Amelirekebisha hilo na sasa tunakwenda vizuri. Wale wafanyakazi hewa nk wameondolewa na wale waliokuwa wanakula bila kunawa mikono kama Zito et al bila kusahau ulaji uliokuwa unafanyika NSSF nk.
JPM ameiweka Tanzania pazuri muda utaeleza. FYI JPM hajaua hata kampuni moja inayoajiri wazawa bali ameyafanya makampuni kuwa more productive sio kuwa kichaka cha walanguzi.
BTW Umegangamalia hiyo 190 billion ya Barrick, ilikuwa kwenye mazungumzo kwa sababu katika kila deal kuna makubaliano na makubaliano yenyewe ni kampuni ya Twiga kama hupendi nenda kajinyonge. Income inayotokana na madini hivi sasa haijawahi kutokea Tanzania. Wewe ulikuwa mfaidika wa Tanzanite nini? Come outside and smell the coffee.
Bureau de change ngapi ameziua,benk gani,malori mangapi ya tz matajiri wameyakimbizia nje kuyasajili nchi jirani ili wasifirisike, biashara ngapi zimekimbizwa nje mfano tu Tunduma border wafanyabiashara waliamua kuzisajili biashara zao Zambia ili wasifilisiwe,kwa uchache tu ni takribani ajira milioni 3 zimekufa kwa kusomeshwa namba eti kunyoosha.Tazama kariakoo au posta frem zimefungwa utadhani ni jumapili.Ajira zipi mpya zitoke Hali zilizopo tu uwezo wa kuongeza tu mishahara umewashinda.
Umeeleweka .afrika haiendelei shida kubwa Ni viongozi tu hakuna kingineMuda sio mrefu nilikuwa nawasiliana na Mtanzania mmoja anafanya kazi kwenye moja ya store (huku tunaita supamaket) iliyoko Copenhagen.
Kwa kukosekana kwa usafiri, stores hazina vitu vingi ambavyo Tanzania tunazalisha, kama kahawa, cocoa, chai.
Wanategemea mzigo toka South Africa kama mwakilishi pekee toka barani Africa anafanya exports ya finished products
View attachment 1429069
Ukichungulia
Ghirardelli Sweet Ground Dark Chocolate & Cocoa Powder, 3 Pound Can with Limited Edition Measuring Spoon | Buy Products Online with Ubuy Denmark in Affordable Prices. B07S1R98NJ
View attachment 1429080
hii ni 1.3kg inauzwa DKK258 (sawia na 86,000TZS) COCOA
McCafe Colombian Ground Coffee, 30 Ounce | Buy Products Online with Ubuy Sweden in Affordable Prices. B01M226ESB
View attachment 1429082
Hii ni Kahawa Arabica toka Colombia bei SEK148 gm 850(sawia 33,000 TZS)
McCafe Colombian Ground Coffee, 30 Ounce | Buy Products Online with Ubuy Sweden in Affordable Prices. B01M226ESB
Au Asali 250 gm inauzwa SEK574 (131,000TZS)
RAW MANUKA HONEY MGO 820+ (UMF 20+) 8.8oz (250g) Medicinal Strength - Highest Certified Rating BPA Free Jar Cold Extraction Independently Verified | Buy Products Online with Ubuy Sweden in Affordable Prices. B01HYIT7PO
Nini kinahitajika, lazima serikali ifanye kila Nyerere alifanya ni kitu kama Marshal Plan.
Kudhamini Watanzania kununua technology (machinery za processing and packaging) na kununua brand zinazofahamika ili bidhaa ikiingia sokoni wanunuzi wawe wanaijua.
Assuming, sisi tupate say 60% ya mauzo ya mwisho.
Maana yake piga hesabu za nini kinauzika Scandnavia toka Colombia au Australia ambapo wakati uhitaji ni mkubwa maana wao hawana mashamba ya kulima wana-import karibu aina ya vyakula vyote ukitoa samaki.
Mara kwa mara huwa nashauri, Wizara ya fedha ibadili policy na strategy ili kuwekeza kwenye exports maana we get more forex while we create more jobs at home.
Trust me, hiki ndicho Thailand, wanafanya na they get lots of money. Waziri wetu wa fedha utapata kodi biashara zikifanya vizuri.
Focus on working with private sector mpya, sio hii ya wauza barafu, na vifungashio kazi ambao wangefanya vijana wa kawaida.
Wizara ikijenga financial leverage kuna investment project zitafanyika zenye mrejesho mkubwa wa fedha kuliko kusubiri mabebery.
Kwa akili hiyi hiyi ya kusomesha wanafunzi vyuo vikuu yet wanamaliza bodi haijui wangapi watapata ajira ili kurejesha fedha zake, kwanini tusiwekeze kwenye bodi ya kukopesha wawekezaji maana wao mrejesho wao ukifanyika vizuri under consultants wa kutoa know how ambao wapo duniani, we can make a difference in earning more revenues locally kwa wakulima kuwa na soko la hakika likewise kuuza final products
Wasalaam