Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Habari wakuu.
Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria.
Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji nk.Ila yote tisa-kumi ni kwamba wanaacha maumivu makubwa katika famililia za watu na makovu makubwa kwa jamii kwa ujumla kwani zipo familia hubaki yatima kwa kuuawa wapendwa wao nk.
Polisi inakuwa ni ngumu kuwashitaki kwakuwa wanalindwa na dola ambayo nayo wanailinda au kuwalinda watawala mfano mzuri ni kesi ya Janet aliyelawitiwa na wale askari wa JWTZ wakitumwa na Polisi Fatuma mpaka sasa kesi ni danadana ila angekuwa raia wakawaida mpaka sasa angeshafungwa siku nyingi.
Swali langu ni je hakuna namna tunaweza kuwashughulikia nje ya sheria kama wanavyofanya wao kwani naamini kinachowasumbua hawa jamaa ni kiburi cha uzima na madaraka tu ila ukizingatia na wao wana familia,wanavuta hewa hii hii,wanakula,wanatembea usiku,wanachukua wanawake,wanafanya kila kitu kama wanadamu wengine?
Hawa wakifanya makosa huhamishwa na kuacha simanzi na majonzi kwa wahanga sasa mi naona ni muda wakuanza kushughulikiwa nje ya mahakama kwani teknolojia ni kubwa yeye hata akifanya kosa apigwe picha tu chap yeye hata akihamishwa mauti akutane nayo huko huko.Ni wazo tu nilikuwa najaribu kuwaza baada ya kuona sheria haina msaada dhidi ya raia🙏