2sexy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 682
- 1,529
Heri ya sikukuu kwako.
Hili tunda nimesoma linafaida nyingi kiafya na hata kwa mifugo. Yaani ni tiba asili kwa binadamu na wanyama.
Changamoto naona ni tunda maarufu sana huko Afrika Magharibi. Je, hapa kwetu hamna kweli? Je, kuna member yoyote keshawahi kuliona? Kama ndio linaitwaje?
Tunda lenyewe linaitwa christmas melon wanaijeria wanaliita tagiri.
Karibuni mnisidie