Je, tunda aina ya “Christmas melon” linapatikana Tanzania?

Je, tunda aina ya “Christmas melon” linapatikana Tanzania?

Huyo mwenye uzi wa makelele ni jamaa mwengine nae katendwa!. Jana nafikiri dunia ilibinuka binu!
Una nini wewe KENZY 😂😂
Ilibinuka au ilibinuliwa na vituko vya waja
 
Mleta mada tupe faida za chrismas melon kama hutojal
Mkuu mimi nimeona inatumika sana kwenye mifugo hasa kuku kuzuia magonjwa
Faida nyingn
Kwa wanawake kutibu kufungua mirija,nguvu za kiume na kwenye mambo ya spiritual yaan kujikinga na wachaw
Pia inasemekana kutibu kisukar
Caveat. Sijawahi kuprove kama inatibu maradhi hayo
Ila kwa kuku sina mashKa
 
Hilo tunda kwa kisukuma linaitwa "salyungu" tunalitumia kutibu ng'ombe jike akipata shida kwenye zoezi la kuzaa.

Pia linamambo mengi kibao!
 
Hilo tunda kwa kisukuma linaitwa "salyungu" tunalitumia kutibu ng'ombe jike akipata shida kwenye zoezi la kuzaa.

Pia linamambo mengi kibao!
Ahsante mkuu, mambo yake mengi ni Kama yapi?
 
Njombe yapo kibao ila yana masharti yake ukilitia kidole au kitu chochote huwa chungu so kula kwake unapasua unakuwa unakula kwa mdomo tu
 
Back
Top Bottom