Kwa kisukuma linaitwa isende .. haya matunda yapo mengi kanda ya ziwa .. mara nyingi yanatumika kwenye tiba za kienyeji, kwenye matambiko n.k
Acha urafi hayaliwi weweMatamu??
Yana sukari?
Hayo kwenu Tbr mbona mengi sana?Matamu??
Yana sukari?
Kumbe hichi kijamaa nacho kina six pack
Acha urafi hayaliwi wewe
Hayo kwenu Tbr mbona mengi sana?
Ni machungu kupitiliza kama vibuyu.
Watu hupenda kuning'iniza milangoni kwa imani za kuzuia roho wabaya.
Yanajiotea tu kwenye mpindo(compounds) ama shambani, sijawahi ona yakilimwa.
Nakuita mara tatu kasie kasie kasie acha vurugu! Hebu tu focus kwenye mada hayo matunda hayaliwiHangover za kuzimiwa simu hazijaisha?🤣🤣🤣🤣
Zoom hiyo picha waoneshe wenyeji watakuhakikishia.Weeh sijawahi kukutana nayo hayo kijijini kwetu.
Nakuita mara tatu kasie kasie kasie acha vurugu! Hebu tu focus kwenye mada hayo matunda hayaliwi
Zoom hiyo picha waoneshe wenyeji watakuhakikishia.
Yanaota kwenye wigo na majalalani sehemu za makazi ya watu..
Huyo mwenye uzi wa makelele ni jamaa mwengine nae katendwa!. Jana nafikiri dunia ilibinuka binu!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe kesi ilikuwa nyepesi hivii...😁😁😁
Sasa mbona hukusema mapema hadi amekuwahi na uzi wa kujitetea kuwa alikuwa kwenye makelele ndo maana alikubloku...!!?😂😂😂😂😂
Hays ngoja niache, kwani nawe unapenda tunda..!??🤣🤣🤣🤣
Unakulaga tunda....???! Eti Kibeee....😆😆😆😆
Huyo mwenye uzi wa makelele ni jamaa mwengine nae katendwa!. Jana nafikiri dunia ilibinuka binu!
Sawa mlafi.Poleni, ongeza kiwango cha kutafuta hela, hautablokiwa wala kuzimiwa simu tena...🤣🤣🤣
Sawa mlafi.