Mechanism Of Action
Member
- Sep 8, 2020
- 22
- 9
Kwa kifupi sana, Lissu ameamua kutumia silaha nyingine baada ya kwanza kuzidiwa, kifaru kikishindwa jaribu fighter jet kwa masafa ya mbali.
Vp kuhusu kura milioni 12 alizosema atapewa magu na kweli ikawa?Kuhusu ID za Machinga,ni hivi, kama kuna ushauri mzuri, mtu yoyote mwenye akili anauchukua na kuufanyia kazi PERIOD! Huo pia ni ustaarabu.
Yesu alikuja kuwakomboa watu waovu ili watubu wapate kuingia ufalme wa Mungu.
Lakini Lissu anapigania vitu vya dunia tofauti na Yesu Kristo.
Na alisikika akimkejeli Mungu aliposema Raisi Magufuli a learned and qualified scientist anamuomba Mungu kupambana Corona badala ya kujikita kwenye sayansi kupambana na Covid-19
mumeo ndio loserLisu ni loser
Utabiri wa hizo kura milioni 12 ulitokana na kazidata/kanzidata (data base) ya wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI pamoja na wapenzi na mashabiki wake. Makadirio hayo yalikuwa sahihi kufutana na nadharia ya chaguzi kuwa huwa hakuna siku zote 100% turnout kwenye uchaguzi.Vp kuhusu kura milioni 12 alizosema atapewa magu na kweli ikawa?
Jumlisha na yale maburungutu ya kura ya kwenye mabegi ambayo wananchi waliyakamata lkn walipotaka kuyachukua polisi walidai ni vielelezo hivyo waachiwe waoUtabiri wa hizo kura milioni 12 ulitokana na kazidata/kanzidata (data base) ya wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI pamoja na wapenzi na mashabiki wake. Makadirio hayo yalikuwa sahihi kufutana na nadharia ya chaguzi kuwa huwa hakuna siku zote 100% turnout kwenye uchaguzi.
Haya maneno kama ya Rais Trump, ambayo hata wanasheria wake wenyewe wanaona hayana mashiko! Vivyo hivyo nyie pamoja na Lissu, kweli Lissu na ninyi mngekuwa na huo ushahidi wa uhakika, MNGESEPA na kukimbilia Ubelgiji!? Wacheni mambo hayo humu JF, mnatuchafua tu! Jipangeni from Europe for 2025, vinginevyo KAENI KIMYA.Jumlisha na yale maburungutu ya kura ya kwenye mabegi ambayo wananchi waliyakamata lkn walipotaka kuyachukua polisi walidai ni vielelezo hivyo waachiwe wao
Yajayo yanachekesha
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Inaonesha upo kijijini hata yanayoendelea nchini hujui, au nyie ndio wale gazeti la j3 mnasubiri mpaka ya fike weekend ndiyo myasomeHaya maneno kama ya Rais Trump, ambayo hata wanasheria wake wenyewe wanaona hayana mashiko! Vivyo hivyo nyie pamoja na Lissu, kweli Lissu na ninyi mngekuwa na huo ushahidi wa uhakika, MNGESEPA na kukimbilia Ubelgiji!? Wacheni mambo hayo humu JF, mnatuchafua tu! Jipangeni from Europe for 2025, vinginevyo KAENI KIMYA.
Hatuwezi kuelewana kwani tuko parallel, Different schools of thought."Uovu" ni nini?
Na "sayansi" ni nini? Imetolewa na nani?
Ukiweza kuya - define na kujibu kwa ufasaha hizi terms mbili, naamini utarudi haraka kufuta hiki ulichokiandika..
Kwa kifupi huwezi kutofoutisha "kipaji cha ugunduzi" a.k.a sayansi kilichowekwa na Yehova mwenyewe ktk akili za watu na yeye Mungu - Yehova...
Kwa hiyo madaktari na matabibu wote wako kwa ajili ya Mungu na wanatenda kwa niaba ya Mungu..
It's all the same. Mungu - Yehova ndiye aamuaye njia ya uponyaji kwa mtu/watu wake...