johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao mabeberu na sisi wapi kuna rushwa kubwa tena inayofanywa na viongozi wa serikalihawezi maana anapenda kuwakumbatia mabeberu
Escrow iliibuliwa na tumbili.......Lisu alidandia tu!Lisu ndie aliyeibua ufisadi wa escrow mpaka prof muhongo siku ile bungeni akajiuzulu
Toa mifano manka!Wengi wa mafisadi wa Magufuli ni wapinzani
Wengi wa mafisadi wa Magufuli ni wapinzani
Kandi na kamishina wa ziamoto.wamefumgwa?Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?
Maendeleo hayana vyama!
Acha utani we mjukuu wa mzee mgaya: magufuli huyu si ndo amewahonga wapinzani vyeo ili waunge mkono juhudi?Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?
Maendeleo hayana vyama!
Membe wameshamsahau!Mkuu vipi bado 2020 TUNAENDA NA MEMBE?
kwani awamu ya 5 imepiga vita gani ya ufisadi? walau JK anaweza kutamba kidogo maana kina Mramba na Yona walishikishwa adabu.Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?
Maendeleo hayana vyama!
Kafulila kama sikosei ndie aliibuwa Escrow.Lisu ndie aliyeibua ufisadi wa escrow mpaka prof muhongo siku ile bungeni akajiuzulu
Uko sahihi kabisa bwashee!Kafulila kama sikosei ndie aliibuwa Escrow.