Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na rushwa na ufisadi? Historia yake inatuhakikishia hilo?

Umezaliwa mwaka gani bwashee? Inaelekea wakati Tundu Lissu na makamanda wenzake walipokuwa wanapambana bungeni kufichua ufisadi
mkubwa uliofanywa na CCM kwenye EPA, Kigoda, Meremeta, Deep Green Finance, n.k ulikuwa bado chekechea.!
 
Umezaliwa mwaka gani bwashee? Inaelekea wakati Tundu Lissu na makamanda wenzake walipokuwa wanapambana bungeni kufichua ufisadi
mkubwa uliofanywa na CCM kwenye EPA, Kigoda, Meremeta, Deep Green Finance, n.k ulikuwa bado chekechea.!

EPA iliibuka wakati Zakia Megji akiwa Waziri wa Fedha 2006.
Huyu ndie waziri wa kwanza wa Fedha wa JK na alianguka baada ya Ernest & Young kufanya uchunguzi kuthibitisha alichoibua Dr. Slaa ni kweli.

Whistle Blower wa EPA alikuwa Dr. Slaa. He was a true patriot MP ever.

Lissu kaingia bungeni 2010 wakati wa awamu ya pili ya JK.
Msimpe sifa ambazo hana.
 
ASSAD ukweli wake ukamponza!!.
 
Yaani wagombea ubunge kupitia CCM wameuonesha uma kua walivyokua wanasema wanapambana na Rushwa yalikua maneno tu.
Takukuru imekuja kupigilia msumari baada ya kusema wale wote waliokamatwa na rushwa wanaichia Kamati ya CCM kuamua. Wakati mahakama zipo
 
Bwashe TAL alipambana na uonevu na ufisadi huko Tarime akawatoa gerezani na kuzuia watu kufungwa kwa uonevu, watu 460!
 

Nani kafungwa kwa kesi hizo & nani kapandishwa kizimbani kwenye mahakama ya mafisadi?
lugola yuko wapi? andanganye yupo wapi?
chenge yupo wapi, tibaijuka yupo wapi, ngereja yupo wapi?
SWALI LA MSINGI.
Kwanini habari za lisu zinapingwa vikali katika media? hofu hii ni ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…