Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu anasoma michango yetu humu JamiiForums?

Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu anasoma michango yetu humu JamiiForums?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?
Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi?

Sky eclat
Erthrocyte

Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu?

Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze kuwasiliana nae moja kwa moja kwenye page yake ya jamiiforums.

TUNDU LISSU TUNAKUPENDA SANA.
 
Bila Shaka anajua kuwa ana rundo la wapenzi humu na bila shaka anajua wapenzi wake wanamwombea nini.
Kuhusu kufungua account kwa utambulisho, nafikiri atatafakari.
TL for URT president
 
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?

TUNDU LISSU TUNAKUPENDA SANA.
TL yumo humu na sio tuu anasoma sana jf, bali anafuata hata ushauri wetu humu
P
 
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?
Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi?

Sky eclat
Erthrocyte

Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu?

Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze kuwasiliana nae moja kwa moja kwenye page yake ya jamiiforums.

TUNDU LISSU TUNAKUPENDA SANA.
Sisi watetezi wa haki na amani hatuhitaji tujuikane ni wajibu wetu kuunga mkono kila mwenye jitihada za kutafuta uhuru haki na amani ndani ya nch hii.

Hatuhitaji kujulikana wala hatuhitaji uteuzi akiwa Rais.
 
Anasoma sana na kuchukua ushauri ule wa maana. Ila siungi mkono kufungua akaunti yake verified kwani kuna vibaka wa Lumumba humu watamtukana hakuna mfano. Na hata ajira ya buku 7 itaongezeka maradufu ili watukane kwa kupokezana.
Tuliona wakati Dr Slaa anajitambua na ni member wa JF alivyokuwa anamwaga shule lakini watu wanamshukia kama mwewe.
Kama mnamtaka Lissu basi na Jiwe ajiunge maana ndio watapambana Octoba kwa Mdahalo kwanza (hilo lazima lifanyike hata kwa nguvu) pia uchaguzi.
 
Back
Top Bottom