Kesho itakuwa tarehe 23 Sept 2024. Siku ambayo chadema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuwarudisha makada wote wa chadema waliotekwa na wasiojulikana lakini pia kuomba haki itendeke kwa waliouawa.
Serikali kupitia jeshi la polisi imepiga marufuku maandamano haya kwa sababu za kiusalama.
Chadema nao wameapa kuandamana kwa vyovyote vile huku wakisema kuwa nao wamejiandaa kufa ikidibi.
Mimi najiuliza tu je Chadema wanawategemea wafuasi wao hawa wanaume wa Dar au kuna wengine?