Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hamza anaweza kuwakilisha kundi la wakosa haki, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye tatizo la akili, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye msimamo mkali waliokosa cancelling, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye msongo wa mawazo nk.
Makundi haya ya watu tunaishi nayo lakini yawezekana hatuna mbinu yakushirikiana na dola kuwafichua na wakati mwingine hata tukiwafichua may be dola imejikita kuwakamata nakuwatreat kama waalifu kuliko kuwekeza kuchota taarifa kutoka kwao. Yawezekana dola haijaandaa kundi kubwa la wakusanya taarifa zao kwa sababu ni haina mpya ya watu kwenye nchi yetu au may be tuliwapuuzia kwa sababu madhara yao hayakuwa makubwa. Lakini kuanzia Sasa hata tusipokubaliana ila tumeingia ngwe ya kila mtu kumchunga na kufuatilia nyendo za mwenzake.
Yawezekana waliokuwa kwenye daladala Wana akina Hamza wengi nyumbani wakiamini madhara yao si makubwa,washukuru Hamza hakuangaika na raia ila tukubali yawezekana tusipotimiza wajibu yupo Hamza tunamlea kwenye familia zetu ambaye akitoka akaingia mtaani anaweza kumaliza watu.
Tusipambane na Polisi wala kuwawekea mgomo maana Polisi ni ndugu zetu na hata tukiwapuuza wahalifu wanatudhuru zaidi sisi kuliko hata Polisi.
Njia nzuri yakuwapambana na akina Hamza ni hizi zifuatazo;
1. Polisi waondokane na arresting mentality wajikite kwenye intelligency gethering mentality, kwamba kipaombele kwao kiwe taarifa kuliko ukamataji.
2 . Turudi kwenye slogan ya Mwema ya Polisi Jamii, tusidhani kutumia nguvu dhidi ya jamii ni Suluhu. Nguvu zaweza kuzalisha akina Hamza kwa sababu nguvu uumiza wenye hatia na wasio na hatia.
3. Wananchi penda msipende msidharua watu, toeni taarifa regardless mmepoteza imani kiasi gani. Kutoa taarifa polisi hata Kama watachukua kitu kidogo kwa mtuhumiwa lakini mtuhumiwa anashtuka kwamba anafahamika. Lakini pia unaweza toa taarifa ya tukio dogo wakabaini mambo makubwa zaidi. Tutoe taarifa.
4. Serikali iwekeze kwenye mafunzo ya usalama.
Poleni wafiwa, poleni wapiganaji na poleni Watanzania.