Kabla uja laumu hawa wazee wetu we kama wewe nchi yako umeisaidia vipi?
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hata Ngara atakuwa haikumbuki tena. Nilimuona bushubhi mara ya mwisho 1985.Baba yangu amekula chumvi nyingi huo mwaka 1940 alikuwa na miaka saba. Bado akili zinafanya kazi japokuwa hasikii vizuri ukiongea haraka haraka.
Pale Rulenge eh!!Hata Ngara atakuwa haikumbuki tena. Nilimuona bushubhi mara ya mwisho 1985.
Sawa Ila usitufokee basi hujui Kuna Vita mjomba?Baba yangu amekula chumvi nyingi huo mwaka 1940 alikuwa na miaka saba. Bado akili zinafanya kazi japokuwa hasikii vizuri ukiongea haraka haraka. Ni wale wazee waliofanya kazi Tanzania ya awamu ya kwanza, waaminifu na shuleni walikuwa na akili inayofanya kazi vizuri.
Amepitia pilika pilika nyingi miaka ya shule ya msingi na sekondari bahati yake alikutana na wazee waliojua maana ya elimu tangu miaka hiyo kabla ya uhuru.
Mungu ni mwema siku zote na siku zote Mungu ni mwema.
Wa 2000's ndio mnapigwa na wake zenu mnavaa kata K mnalewa na wanawake bar na bado baba zenu tunawasaidia kuwatunza mademu zenu maana hamna hata hela ya kutunza wanawake kazi kunyoa viduku na kucheza betting hakuna mnachozalisha.Tuwapotezee tu,wengi wao walizaliwa 70s, 80s, 90s wala hawana tofauti nao sana.
Ni mmoja wa wazee wa Ngara wanaoheshimiwa. Nyumbani ni Bushubhi huko huko sehemu moja inaitwa Kashinga.Hata Ngara atakuwa haikumbuki tena. Nilimuona bushubhi mara ya mwisho 1985.
Ungesema baadhi ya wazee hao ambao ni wale waliobahatika kupata nyadhifa katika nchi, lakini wewe umejumlisha wazee wote waliozaliwa kipindi hicho, umewakosea sana wazee waadilifu ambao ni wengi zaidi kuliko Hao mafisadi nk.Viongozi wetu wengi ukiacha wale wazee waanzilishi ni hawa wa 1940-1960.
Hichi ndiyo kizazi cha wasomi, mafisadi, waheshimiwa , watunga sheria karibu wote wa Tanzania ya sasa
Swali tuwakumbukaje? Kwa mazuri au hawa ndiyo sababu ya Tanzania kuwa masikini mpaka leo
Hata mimi ndiko nyumbani huko.Ni mmoja wa wazee wa Ngara wanaoheshimiwa. Nyumbani ni Bushubhi huko huko sehemu moja inaitwa Kashinga.
Hakuna hata mmoja wa kukumbuka maana ni wapiga dili tupu na matapeliViongozi wetu wengi ukiacha wale wazee waanzilishi ni hawa wa 1940-1960.
Hichi ndiyo kizazi cha wasomi, mafisadi, waheshimiwa , watunga sheria karibu wote wa Tanzania ya sasa
Swali tuwakumbukaje? Kwa mazuri au hawa ndiyo sababu ya Tanzania kuwa masikini mpaka leo