Blauzi mbovu
Member
- Oct 30, 2021
- 41
- 40
Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza.
Ndani ya maji kulikuwa na uchafu unaofanana kabisa na ule unaopatikana kwenye maji ya kandoro/kidebe. Kutokana na hali hiyo nimeshindwa kuyatumia kwa kunywa na nikaishia kuyanawa tu.
Swali langu ni hili: Je, kampuni kwa sasa haizangatii ubora wa bidhaa zake baada ya kukua, kiasi kwamba wanaingiza sokoni bidhaa zisizokidhi viwango ? Au kuna watu wasio waaminifu wanaochakachua bidhaa hii na kuiuza kwa jina la kampuni?
Ningependa kupata ufafanuzi, kwa sababu suala hili linahusu afya na usalama wa watumiaji.