Je, Uchaguzi huu CCM itaanzia pale ilipoishia 2015, ikumbukwe enzi za Shujaa Magufuli hapakuwa na Fair Play Siasani bali Ubabe mtupu!

Je, Uchaguzi huu CCM itaanzia pale ilipoishia 2015, ikumbukwe enzi za Shujaa Magufuli hapakuwa na Fair Play Siasani bali Ubabe mtupu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uchaguzi wa 2015 uliishia kwa baadhi ya nguli wa CCM kukatwa na hatimaye Shujaa Magufuli kukabidhiwa mikoba

2025 wale waliokatwa Ndio wameshika mpini sijajua Hali itakuwaje 🐼

Mungu Ibariki CCM na Chadema 😀
 
Back
Top Bottom