johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguzi wa 2015 uliishia kwa baadhi ya nguli wa CCM kukatwa na hatimaye Shujaa Magufuli kukabidhiwa mikoba
2025 wale waliokatwa Ndio wameshika mpini sijajua Hali itakuwaje 🐼
Mungu Ibariki CCM na Chadema 😀
2025 wale waliokatwa Ndio wameshika mpini sijajua Hali itakuwaje 🐼
Mungu Ibariki CCM na Chadema 😀