Je, Uchumi unapaa au unashuka? Ongezeko la bei ya petrol na diesel laanza kupaisha bei za bidhaa na huduma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.

Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Hii ya bei ya mafuta inaongeza credit kwa mama.
 
Si alisema ana nyoosha uchumi kwanza!??ndo kuunyosha kwenyewe huko
 
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.

Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Msilie, BUNGE lenu la kijani hilo linapitisha kila UTOPOLO, hamna wa kupinga, kukosoa, kurekebisha Wala kusahihisha
 
Mwaka 2018 Nakumbuka nilikuwa nanunua petrol sh 2700 Kwa lita Moshi Mjini na huo mfumuko wa bei haukutokea.

Kuongezwa Kodi ya sh 100 Kwa lita isitutoe mishipa ya Shingo Kwa kelele, tulipe Kodi watoto wapate mikopo,umeme usambazwe Kwa 27000Tsh,na maji yapatikane
 
Wakuu ni muhimu tukaelewa kuwa bei ya mafuta inategemeana na soko lake kimataifa,serikali yetu hawana udhibiti wowote ule,tusilaumu tu bila ya kuwa na ufumbuzi na binafsi ninaishauri serikali iondoe au ipunguze kodi za mafuta,tuimarishe shillings yetu(pls ondoa zile 000 na tubakiwe na noti ya 100tsh only)wenzetu Zambia walifanya hivi under President Scott na Botswana wameweza hili kwa kutoweka kodi nyingi kwenye mafuta ndio maana mafuta yao ndio yenye bei ndogo hapa SADC
 
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.

Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Cc RRONDO
 
Dah tunampenda mama lakini CCM hatuipendi tumechanganyikiwa Aisee yani tuko kwenye dilemma ya hatarii. Tukimpinga alivyo mpole na huruma dhamira inakushtaki. Our fakin hands are tied and there's nothing we can do.
 
Na baadhi ya CCM pia hawampendi Mama..
 
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.

Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni kawaida sana kwa Nchi zilizoingia kwenye uchumi wa kati ,vitu huwa bei juu na tunaomba petrol iwe juu zaidi maana wabunge wamepitisha bajeti kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom