Je, Uchumi unapaa au unashuka? Ongezeko la bei ya petrol na diesel laanza kupaisha bei za bidhaa na huduma

Je, Uchumi unapaa au unashuka? Ongezeko la bei ya petrol na diesel laanza kupaisha bei za bidhaa na huduma

Uchumi unakuwa Kwa Kasi sana. Hela mtaani ishaanza kusambaa. Hio sh150 ilioongezeka tutaimudu tu.
Sasa hivi chaguo ni lako
1.Uweke petrol Lita 2500/- ukazurule au
2.Ununue bia 1,500/- utulie
#KaziIendelee
 
Uchumi unakuwa Kwa Kasi sana. Hela mtaani ishaanza kusambaa. Hio sh150 ilioongezeka tutaimudu tu.
Sasa hivi chaguo ni lako
1.Uweke petrol Lita 2500/- ukazurule au
2.Ununue bia 1,500/- utulie
#KaziIendelee
Agiza bear ya baridi nakuja kulipay
 
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.

Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Waziri wa fedha na uchumi mwenyewe Mwigulu rais wa mawe ataweza vipi kudhibiti uchumi ?
 
Mafanyabiashara ya mafuta hadi yanahujumu uwekezaji kwenye vituo vya kujaza gesi kwenye magari.....serikali isikubali kushikwa masikio na haya mapiga dili....
 
When these guys tell you that Bi Mkubwa anawafuta machozi, walengwa hasa huwa ni wapigaji, walarushwa, mafisadi na makuwadi wa mabeberu. The tables seem to have been overturned. The masses are simply being deceived like the way fish-baits work.
 
Dah tunampenda mama lakini CCM hatuipendi tumechanganyikiwa Aisee yani tuko kwenye dilemma ya hatarii. Tukimpinga alivyo mpole na huruma dhamira inakushtaki. Our fakin hands are tied and there's nothing we can do.
Never ever confuse upole for true patriotism & responsibility.
 
Kimsingi huyu mama anafeli Sana yaani huu uchumi wa wachumi uchwara shida kweli sioni Kama Kuna kitu mwiguru anajua zaidi ya kuchafua mawe na madaraja
 
Wabunge wanalipwa posho ya mafuta, ya thamani ya lita 40 kila siku. Hivyo wao kupanda bei ya mafuta ni faida kwao kwani posho yao kwa siku inakuwa imepanda. Ndiyo maana wakashinikiza bei ya mafuta ipande. Mama hakugundua janja yao.
 
Back
Top Bottom