Uchumi unakuwa Kwa Kasi sana. Hela mtaani ishaanza kusambaa. Hio sh150 ilioongezeka tutaimudu tu.
Agiza bear ya baridi nakuja kulipayUchumi unakuwa Kwa Kasi sana. Hela mtaani ishaanza kusambaa. Hio sh150 ilioongezeka tutaimudu tu.
Sasa hivi chaguo ni lako
1.Uweke petrol Lita 2500/- ukazurule au
2.Ununue bia 1,500/- utulie
#KaziIendelee
Waziri wa fedha na uchumi mwenyewe Mwigulu rais wa mawe ataweza vipi kudhibiti uchumi ?Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.
Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ataferi mapema Sana huyu nyauWaziri wa fedha na uchumi mwenyewe Mwigulu rais wa mawe ataweza vipi kudhibiti uchumi ?
Mwigulu hawezi lolote zaidi ya kuchora mawe tu.Ataferi mapema Sana huyu nyau
Never ever confuse upole for true patriotism & responsibility.Dah tunampenda mama lakini CCM hatuipendi tumechanganyikiwa Aisee yani tuko kwenye dilemma ya hatarii. Tukimpinga alivyo mpole na huruma dhamira inakushtaki. Our fakin hands are tied and there's nothing we can do.