Je ufungaji bora wa Saidoo ulikuwa wa mchongo?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Msimu ulioisha kuliibuka mashindano ya ufungaji bora kati ya predator mayele na saido ntibazonkiza kiasi Kwamba Kuna vitu vilinishangaza

_ Uwezo wa Saidoo kufunga goli 5 kwenye mechi Moja ndani ya ligi lkn club bingwa alimaliza bila goli hata moja[emoji32]
_ msimu huu saido hajafikisha goli hata 5 Kwa mechi zote

NB: Je ufungaji bora wa huyu jamaa ulikuwa na walakini ...Baada ya simba kushindwa ubingwa ...wakaona wawekeze efforts kwenye kiatu Cha dhahabu??
 
Mbivu na mbichi ndiyo zinaonekana sasa. Mfungaji bora wa kweli ameuzwa Pyramid kwa dollar za kutosha tu! Halafu yeye kama yeye, mpaka muda huu hata hatma yake tu ndani ya klabu haijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…