Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

Mahita kingai ndiyo magaidi kwani wamefanya vitendo vya kigaidi kuwakamata walinzi wa mbowe kuwapiga pingu mikono miguu saa 24 kila siku kuwapiga kuwatesa waseme ugaidi ambao hawana haupo na haujawahi kuwepo, ugaidi upo huko Polisiccm waliotumika kumbambikia kesi
 
ila pia kubadili mbinu haijawahi kuwa tatzo mkuu,unaweza hata kurudi nyuma ili kujipanga,siasa ni sayansi mkuu
Kuwabambikia kesi wapinzani ni ugaidi kwani kitendo cha kutengeneza uonevu uongo uovu kwa wapinzani ni kitendo cha kishetani ni zaidi ya ugaidi
 
Pale mwenyekiti alipo kamatiwa ilibidi shughuli ile iendelee kama kawaida

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shughuri mbona zinaendelea mkuu,ama wewe haupo bongo?huoni BAWACHA na BAVICHA kila siku wanakamatwa,hii ujumbe wake ni mmoja,wasingekuwa wanakamatwa kama wangekuwa wamelala na wake /wamezao,wanapga kazi mkuu japo kuna mkono wa CCM kupitia dola
 
Kuwabambikia kesi wapinzani ni ugaidi kwani kitendo cha kutengeneza uonevu uongo uovu kwa wapinzani ni kitendo cha kishetani ni zaidi ya ugaidi
Ndo walivyowatawala wengi wa kiafrika ,then huwa wanajifanya wapo kwa ajiri ya wanyonge na huwa hawakosekani kwenye nyumba za ibada
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Albashiri Sadam Hussein Gadafi Idd Amani dada wapo wapi leo? hata hao Polisiccm akina mahita na kingai walioshiriki vitendo vya kuwabambikia kesi wapinzani kuwapiga kuwatesa walinzi wa mbowe waseme ugaidi ambao haupo haukuwepo laana zitawaandama milele, watanzania wameanza kuwalaani kwa njia zote
 
243901581_206016214959764_5633552565322129726_n.jpg
 
Ugaidi ni kile kitendo cha kwenda mtu bila kosa na kisha kwenda kumpiga kumlazimisha aseme kitu hewa, mahita na kingai ndiyo magaidi wakubwa kwa sasa kupitia uonevu mateso waliyowatendea walinzi wa mbowe
 
We mwenyewe unajua kuwa sababu ni katiba na hamna la zaidi lakini bado nawalaumu chadema ingebidi Mbowe Freeman Aikael alivyokamatwa na kuitwa gaidi watu kama mr Mbilinyi, Lema Godbless, Msigwa na wengine wengi akina chadema damu wangeendeleza kile Mbowe alitaka kufanya ili tu price kwamba Mbowe alikamatwa kwa ugaidi na siyo katiba lakini kusubiri Mbowe atoke ndiyo harakati ziendelee ni udhaifu tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwanini uwalaumu hao [kina Msigwa, Mbilinyi, Godbless Lema nk nk] huku wewe ukijiweka pembeni? Kwani wewe katiba haikuhusu? Haitakunufaisha?

Acha ubinafsi. Katiba ni agenda inayomhusu kila mtu awe anataka au hataki kama ilivyo hewa au maji...

Hitaji la hewa au maji ni kwa kila mtu bila kujali anataka au hataki kwa sababu iwayo yoyote na hasahasa ile ya ujinga tu ambayo inawasumbua na kuwakabili wengi....

Usilaumu wenzako katika hili. Hawa hawawezi kukutendea au kukufanyia wajibu wako ktk hili...

Nawe unapaswa kushiriki katika harakati za kudai KATIBA MPYA kwa njia na namna yako...

Shiriki ktk mijadala na watie moyo walio mstari wa mbele kulisukuma dai hili...!!

Umoja ni NGUVU na umimi mimi na UTENGANO ni kitanzi cha mafanikio...

Hili la Mbowe ni mbinu tu ya watawala ambao ni SATANIC AGENTS yenye lengo kujaribu kuvunja UMOJA na USHIRIKA wetu katika kudai HAKI ZETU kupitia KATIBA MPYA MOVEMENT...

Tukatae na tuache kulaumiana kwa kudhani kuwa jukumu hili linawahusu watu fulani tu...!
 
Tukatae na tuache kulaumiana kwa kudhani kuwa jukumu hili linawa

umemjibu vema kuna watu wanafikiri hawahusiki kwenye baadhi ya mambo,kwamba ni wajibu wa wengine kuanzisha jambo na kulipgania hata kama linawahusu na wao
 
Siro anapoteza heshma yake kwa kasi sana,heshma aliyoijenga kwa muda mrefu
Huyu alileta na JPM ili kushirikiana nae kuua upinzani . Mtangulizi wa sirro alikataa kushirikiana na magufuli katika ufedhuli wake ule. Sirro hakutokana na jeshi la police ni mwanasiasa tena katili kweli . Fuatilia tangu akiwa mkuu wa kituo kawe.
Alipoteuliwa tu TUNDU LISU alishambuliwa mchana kweupe mpaka leo hakuna hata chizi kama yule wa ulimboka aliyepo mahakamani!
Akiulizwa anatoa macho kama kinyonga. Hana majibu .
Anafikiri bado magufuli yu hai...
 
Back
Top Bottom