Kuwabambikia kesi wapinzani ni ugaidi kwani kitendo cha kutengeneza uonevu uongo uovu kwa wapinzani ni kitendo cha kishetani ni zaidi ya ugaidiila pia kubadili mbinu haijawahi kuwa tatzo mkuu,unaweza hata kurudi nyuma ili kujipanga,siasa ni sayansi mkuu
Shughuri mbona zinaendelea mkuu,ama wewe haupo bongo?huoni BAWACHA na BAVICHA kila siku wanakamatwa,hii ujumbe wake ni mmoja,wasingekuwa wanakamatwa kama wangekuwa wamelala na wake /wamezao,wanapga kazi mkuu japo kuna mkono wa CCM kupitia dolaPale mwenyekiti alipo kamatiwa ilibidi shughuli ile iendelee kama kawaida
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndo walivyowatawala wengi wa kiafrika ,then huwa wanajifanya wapo kwa ajiri ya wanyonge na huwa hawakosekani kwenye nyumba za ibadaKuwabambikia kesi wapinzani ni ugaidi kwani kitendo cha kutengeneza uonevu uongo uovu kwa wapinzani ni kitendo cha kishetani ni zaidi ya ugaidi
Ugaidi ni kile kitendo cha kuwapiga watu kuwatesa watu jela wakati ukijua kuwa hawana hatia, wale Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo vya kuwabambikia kesi wapinzani wote ndiyo magaidi,wazungu wenyewe toka mataifa makubwa kabisa Duniani washajua kitu kimepikwa hili...
https://z-p3-video.fdar3-1.fna.fbcd...=9c46973cc2a085e798722b8a7774458a&oe=615AD5C5
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Albashiri Sadam Hussein Gadafi Idd Amani dada wapo wapi leo? hata hao Polisiccm akina mahita na kingai walioshiriki vitendo vya kuwabambikia kesi wapinzani kuwapiga kuwatesa walinzi wa mbowe waseme ugaidi ambao haupo haukuwepo laana zitawaandama milele, watanzania wameanza kuwalaani kwa njia zoteNdo walivyowatawala wengi wa kiafrika ,then huwa wanajifanya wapo kwa ajiri ya wanyonge na huwa hawakosekani kwenye nyumba za ibada
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Albashiri Sadam Hussein Gadafi Idd Amani dada wapo wapi leo? hata hao Polisiccm akina mahita na kingai walioshiriki vitendo vya kuwabambikia kesi wapinzani kuwapiga kuwatesa walinzi wa mbowe waseme ugaidi ambao haupo haukuwepo laana zitawaandama milele, watanzania wameanza kuwalaani kwa njia zote
Kweli kabisa Wakina sirro wapo tayar kufanya lolote ili kulinda mabwana zaoHarakati za kisiasa na za kudai mabadiliko uyatakayo huwezekana tu pindi mtu akiwa hai,na si vinginevyo,so ni muhimu kupambana na adui kwa akili zaidi ya nguvu
Siro anapoteza heshma yake kwa kasi sana,heshma aliyoijenga kwa muda mrefuKweli kabisa Wakina sirro wapo tayar kufanya lolote ili kulinda mabwana zao
Kwanini uwalaumu hao [kina Msigwa, Mbilinyi, Godbless Lema nk nk] huku wewe ukijiweka pembeni? Kwani wewe katiba haikuhusu? Haitakunufaisha?We mwenyewe unajua kuwa sababu ni katiba na hamna la zaidi lakini bado nawalaumu chadema ingebidi Mbowe Freeman Aikael alivyokamatwa na kuitwa gaidi watu kama mr Mbilinyi, Lema Godbless, Msigwa na wengine wengi akina chadema damu wangeendeleza kile Mbowe alitaka kufanya ili tu price kwamba Mbowe alikamatwa kwa ugaidi na siyo katiba lakini kusubiri Mbowe atoke ndiyo harakati ziendelee ni udhaifu tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwanini uwalaumu hao [kina Msigwa, Mbilinyi, Godbless Lema nk nk] huku wewe ukijiweka pembeni? Kwani wewe katiba haikuhusu? Haitakunufaisha?
Acha ubinafsi. Katiba ni agenda inayomhusu kila mtu awe anataka au hataki kama ilivyo hewa au maji...
Hitaji la hewa au maji ni kwa kila mtu bila kujali anataka au hataki kwa sababu iwayo yoyote na hasahasa ile ya ujinga tu ambayo inawasumbua na kuwakabili wengi....
Usilaumu wenzako katika hili. Hawa hawawezi kukutendea au kukufanyia wajibu wako ktk hili...
Nawe unapaswa kushiriki katika harakati za kudai KATIBA MPYA kwa njia na namna yako...
Shiriki ktk mijadala na watie moyo walio mstari wa mbele kulisukuma dai hili...!!
Umoja ni NGUVU na umimi mimi na UTENGANO ni kitanzi cha mafanikio...
Hili la Mbowe ni mbinu tu ya watawala ambao ni SATANIC AGENTS yenye lengo kujaribu kuvunja UMOJA na USHIRIKA wetu katika kudai HAKI ZETU kupitia KATIBA MPYA MOVEMENT...
Tukatae na tuache kulaumiana kwa kudhani kuwa jukumu hili linawa
umemjibu vema kuna watu wanafikiri hawahusiki kwenye baadhi ya mambo,kwamba ni wajibu wa wengine kuanzisha jambo na kulipgania hata kama linawahusu na waoKwanini uwalaumu hao [kina Msigwa, Mbilinyi, Godbless Lema nk nk] huku wewe ukijiweka pembeni? Kwani wewe katiba haikuhusu? Haitakunufaisha?
Acha ubinafsi. Katiba ni agenda inayomhusu kila mtu awe anataka au hataki kama ilivyo hewa au maji...
Hitaji la hewa au maji ni kwa kila mtu bila kujali anataka au hataki kwa sababu iwayo yoyote na hasahasa ile ya ujinga tu ambayo inawasumbua na kuwakabili wengi....
Usilaumu wenzako katika hili. Hawa hawawezi kukutendea au kukufanyia wajibu wako ktk hili...
Nawe unapaswa kushiriki katika harakati za kudai KATIBA MPYA kwa njia na namna yako...
Shiriki ktk mijadala na watie moyo walio mstari wa mbele kulisukuma dai hili...!!
Umoja ni NGUVU na umimi mimi na UTENGANO ni kitanzi cha mafanikio...
Hili la Mbowe ni mbinu tu ya watawala ambao ni SATANIC AGENTS yenye lengo kujaribu kuvunja UMOJA na USHIRIKA wetu katika kudai HAKI ZETU kupitia KATIBA MPYA MOVEMENT...
Tukatae na tuache kulaumiana kwa kudhani kuwa jukumu hili linawahusu watu fulani tu...!
Huyu alileta na JPM ili kushirikiana nae kuua upinzani . Mtangulizi wa sirro alikataa kushirikiana na magufuli katika ufedhuli wake ule. Sirro hakutokana na jeshi la police ni mwanasiasa tena katili kweli . Fuatilia tangu akiwa mkuu wa kituo kawe.Siro anapoteza heshma yake kwa kasi sana,heshma aliyoijenga kwa muda mrefu