J jjeremiah Member Joined Jul 30, 2010 Posts 43 Reaction score 13 Jun 5, 2016 #1 Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi, naomba kujuzwa tatizo ni nini.
Nasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda sasa, tatizo langu ni chakula gani kinafaa maana nimekuwa nikitumia ugali wa mtama lakini niki pima nusu saa baadaye nakuta imepanda mara mbili zaidi, naomba kujuzwa tatizo ni nini.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jan 3, 2017 #2 Unamfaa ndio ugali wa mtama kwa mgonjw awa kisukari.