Je, ugonjwa wa changamoto ya kupumua (UCHAYAKU- 2021) ulioibuka Tanzania unasababishwa na nini, una tiba au chanjo, na kinga na dalili zake ni zipi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.'
Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili.
Kama hawawezi, beberu aje kutusaidia.
 

Tuna he woga na unafiki kilichopo [emoji1241] kwasasa ni korona...hawa wana siasa wachumia tumbo watatufikisha pabaya sana
 

Mganga mkuu amesema ukiona nyoka ukasubiri kuambiwa atakushangaa sana... ndio mkakati wake.
 
Hatuna ugonjwa unaoitwa changamoto za kupumua.Ugonjwa tulionao ni Corona.Wanachofanya hii serekali iliyoingia madarakani kwa kuiba kura ni kutatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo kitu ambacho ni kupalilia tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…