IamIntrovert
Member
- Jul 13, 2023
- 34
- 44
Hauna tiba.
Unapona
Kwa mitishamba
Tafuta hii kitu kwenye ukurasa huu huu kuna jamaa ameshawahi kuandika.Kama unafahamu tiba yake naomba unifahamishe Tafadhal
Mpe pole kwa Niaba na pole na wewe piaNawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Wadau ninahitaji kufahamu kama ugonjwa huu unapona, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana.
huyu inaonekana kazaliwa nayo maana anasema inamsumbua mara kwa.marainategemeana ni pumu ya kurithi au kaugua tu,yakurithi haina tiba
Tafuta hii kitu kwenye ukurasa huu huu kuna jamaa ameshawahi kuandika.
inategemeana ni pumu ya kurithi au kaugua tu,yakurithi haina tiba
Pumu ndio Athma? Kuna mdogo wangu ametumia mbegu za papai anazikausha, na kusaga then ule unga wake anachanganya na maji anakunywa, ametumia siku kumi na nne naona zimemsaidia maana alikua hawezi kupitisha siku hajanywa amnophiline na prednisolone lakini tangu amalize habanwi Tena kifua Kama zamani labda ujaribu hiyo.
Mpe pole kwa Niaba na pole na wewe pia
Asilimia hamsini ya wagonjwa wa Asthma(Pumu) ni kutokana na kurithi , ni hali ya kiafya ambayo huamshwa na allergy(sometimes non allergic) isio na matibabu ya moja kwa moja lakini hali hio inaweza kudhibitiwa na madawa pamoja na mgonjwa kupewa elimu mahsusi namna ya kuepuka visababishi kama vile kubadili mtindo wa kimaisha.
Good news ni kwamba ukishafahamu namna ya kuishi nao hautokusumbua mara kwa mara na kuingilia shughuli zako za kila siku...
Ni vyema mgonjwa kufuata maelekezo na kujua visababishi vya tatizo lake na hii itamrahisishia sana hali hio isimtokee mara kwa mara.
Nakazia hakuna tiba mbadala ambayo itauondoa huu ugonjwa zaidi ya kuzuia dalili zake tu , hivyo mshauri mgonjwa kuzingatia elimu na maelekezo anayopewa na watu wa maswala ya afya.
Hilo tatizo liko damuni. Hurithiwa.ukigusa manyinya ya wanyama kama mbwa na paka au kunusa marashi makali au vumbi ngozi hututumuka.Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Wadau ninahitaji kufahamu kama ugonjwa huu unapona, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana.
Kwa kila anayeamini kweli kweliMpendwa kwake Yesu hakuna linalo shindikana