Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ndugu yangu, hata ugunduzi mwingi umefanywa na watu wasio husika na ugumu husika.Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili hii statement ina maana kubwa sema unachofanya wewe ni kubase upande mmoja lakini ukifikiri kwa upana utaelewa mantiki ya hiyo statement ukweli ni kwamba gunduzi zote zimetokea baada ya kupata ugumu katika jambo Fulani ndipo watu wakaumiza akili kufanya maisha kuwa rahisi namna hii.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili hii statement ina maana kubwa sema unachofanya wewe ni kubase upande mmoja lakini ukifikiri kwa upana utaelewa mantiki ya hiyo statement ukweli ni kwamba gunduzi zote zimetokea baada ya kupata ugumu katika jambo Fulani ndipo watu wakaumiza akili kufanya maisha kuwa rahisi namna hii.
Pointi yako ni kuwa aliyegundua gari alikuwa atembei kwa miguu Seriously? Na hata aliyegundua trekta sio mkulima? hivi vitu unavitoa wapi yaani from nowhere mtu asiye na idea na mambo ya kilimo agundue trekta kwa ajili ya kilimo?kwa maelezo uliyotoa naomba tu nirudie Gunduzi zote zimetokana na ugumu ambao watu waliupata then wakaja na solution ya kupunguza au kuondoa kabisa huo ugumu kwa hiyo statement itabaki vilevile Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili.Ndugu yangu, hata ugunduzi mwingi umefanywa na watu wasio husika na ugumu husika.
Mfano, muafrika alikuwa anatembea mile 1500 kwa miguu, aliyegundua gari ni nani?
Aliyegundua trekta sio mkulima, aliyegundua dawa ya maleria sio anayeumwa maleria.
Ugumu hudumaza, thus ugunduzi na uvumbuzi unafanyika kwa watu wasio na ugumu wa maisha, wakati wenyewe wenye ugumu wanafikia hatua wanaona ni sehemu ya maisha yao
sawaWengi tunajifariji kuwa ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, lakini baada ya kuutafakari msemo huo nimeona ugumu wa maisha hudumaza akili. Kwa sababu zaidi ya moja nimeona watu wamedumaa akili kutokana na ugumu wa maisha wanaoupitia.
Wapo watu wengi ambao wana mawazo mazuri juu ya familia na nchi yao, lakini wanapitia ugumu mwingi kutimiza azma zao. Wao ni kama mbegu bora, lakini haija wekwa kwenye udongo wenye mbolea, hivyo mbali na kuwa mbegu bora hushindwa kunawiri na kutoa mazao bora. Sasa ugumu kuwa kipimo cha maisha huku inaathiri matokeo ya mtu husika ni ya kazi gani?
Tuiangalie elimu, wale wanaosoma shule bora ambazo walimu huwa wanaingia vipindi vyote, vitabu na maabara zipo, hufanya vizuri katika mitihani yao kuliko hawa wanaosoma shule zenye ugumu kama ukosefu wa walimu, maktaba, maabara na computer lab. Kwa nini tunaendelea kuubariki ugumu ikiwa unatudumaza kabisa?
Angalia watoto wa shule za kajamba nani, wanawaza ugomvi, fujo, migomo hata wakija kwenye siasa za kitaifa hali huwa ni hivyo hivyo. Nikumbusheni kama mshawahi sikia migomo kutoka zile shule za milioni milioni.
Wapo wengi wana mawazo mazuri ambayo wanakaa nayo hadi yana expire katika vichwa vyao. Ndugu zangu, wenzetu wanaendelea kwa kasi kwa sababu wanamuweka mtoto mbli na ugumu ili akili ya mtu husika ifanye kazi kwa ufanisi. Mtu/mtoto ni kama mbegu, wala sio sifa kuipanda kenye majani, udongo usio na rutuba, kutoimwagilia na kuipalilia, kuitia dawa nk eti kusema ndio kipimo cha ubora wako huko ni kuidumaza.
Nyie wenyewe mnajua, mainjinia wetu hawana maajabu kuliko mainjinia wa nchi za wenzetu, sababu kuu ni kuwa ndugu zetu wamejitahidi kupunguza ugumu katika mambo yao. Kila unachokihitaji unakipata ili fikra zako zijipambanaue kiupana zaidi.
1. List ya matajiri
Kwa kuangalia list ya matajiri wakubwa nchini na nje ya nchi, utakuta asilimia kubwa ni wale ambao wametoka katika familia bora. Hali inayowafanya fikra zao kuwa na mawazo mapana na kulenga pakubwa. Wachache waliotoka katika familia masikini ambao ni matajiri wakubwa.
2. Malengo
Watu waliopitia ugumu katika maisha huwa na malengo madogo sana kwa kuwa wanapopata hela kwanza huwaza kuanya vitu ambavyo wamevitamani na hawakuwahi kuvipata.
Kwa wanafunzi wa vyuo vikuu utaona wakipata hela kidogo za boom malengo yao makubwa huwa kununua subwoofer kabla ya kufikiria vitu muhimu kama laptops nk. Nawafahamu watoto waliotoka katika familia bora wengi ambao mbali na hela zilizokuwepo kwao wenyewe walikuwa wanamaisha ya kawaida ila wana malengo makubwa.
Hawa waliopitia ugumu wa kutokuwa na nyumba au kupewa vyumba na wazazi wao ndio huona kuwa na chumba ni jambo la umuhimu la kwanza, wakati watu wasio na ugumu ambao amepewa chumba/nyumba na mzazi wake malengo yake yanakuwa ni kufanya investments za maana.
NB: Sio kuwa ukiwa haupitii ugumu unaweza kuwa na mawazo yakinifu, ila likelihood ya kufanya vizuri na kutodumaa kiakili kunakuwa kukubwa zaidi.
Ugumu wa maisha hudumaza akili, tujitahidi kuwafanya watoto wasiupitie ugumu tulioupitia, tusiwe wazazi tusiofikiria vizazi, una nyumba zako mbili ukiona umezeeka au unaumwa unauza nyumba na kuwaambia watoto wakatafute za kwao. Yaani mtu aache kufikiria miradi mikubwa aanze kufikiria kwa kulala wakati wewe mzazi ulikuwa napo mwanzo.
We have to change our thinking!
Dah! Uzi huu nimeupata vilivyo ahsante mkuuWengi tunajifariji kuwa ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, lakini baada ya kuutafakari msemo huo nimeona ugumu wa maisha hudumaza akili. Kwa sababu zaidi ya moja nimeona watu wamedumaa akili kutokana na ugumu wa maisha wanaoupitia.

Wape changamoto iliyosawa hao watu wawili ili tuone nani atapasua. We unadhani nikwanini waliosoma kajambanani wakifika chuo hufanya vizuri kuliko waliosoma shule mambosafi?
1. Mo kasoma wapi?Wape changamoto iliyosawa hao watu wawili ili tuone nani atapasua. We unadhani nikwanini waliosoma kajambanani wakifika chuo hufanya vizuri kuliko waliosoma shule mambosafi?
Nilitangulia kuweka pale juu, ni wachache na hata wakitusua hawafikii level ya wasiopata ugumu katika maisha yao.Waliosoma shule “kajambanani” kama ulivyotangulia kusema, na wakafanikiwa kupenya na kufanya vizuri huko juu(kwanza ni wachache) wengi wao wanakuwa ni purely gifted nakwambia.... shule nzima unakuta waliopenya kufika chuo kikuu ni wawili na hao unakuta brain ziko safi.
Hao wengi walioishia njiani ni average brains, kwa upande wa pili hawa average mazingira bora utakuta wanapeta tu.... mimi ni mfano wa wachache ‘tuliobahatika’ kupenya kutoka huko kajambanani na sasa tunavimba na kusumbua mjini hakuna mtu anaamini.
Uzuri wako umelinganisha akiri na utajiri. Mambo safi kinachomuokoa ni mkondo wake wa nyuma tu. Mfano mo atupwe polini na kajambanani mumoja hivi bila msaada kutoka nje yao. Je nani atatoka mapema na salama kupitia akili yake. Maana changamoto inakuwa sawa wote wametupwa polini1. Mo kasoma wapi?
2. Mengi alisoma wapi?
Chukua idadi ya hao watoto wa masikini ambao wamesoma mazingira magumu, output yao na waliosoma kwenye maeneo yasiyo na ugumu.
au nikuulize, aliyesoma Harvard utamfananisha na wa UDSM? Je unaangalia ugumu waliopitia au output ya kujipambanua?

waite mainjinia, wape changamoto ya kujenga barabara, mchue wa Bongo kwenye maugumu ya maisha na wa uingereza asiye na ugumu wa maisha, nani atajenga barabara nzuri?Wape changamoto iliyosawa hao watu wawili ili tuone nani atapasua. We unadhani nikwanini waliosoma kajambanani wakifika chuo hufanya vizuri kuliko waliosoma shule mambosafi?
Changamoto ya barabara, maji nk, zinasolviwa na watu wa nje ambao hawana ugumu huo...visima vinachibwa na waarabu, barabara wanajenga wachina, wajapana na wakorea. JICA, KOICA nk. Nionyeshe ugumu ulipokuwa na matokeo chanya zaidi ya kudumazaChangamoto(Ugumu wa maisha) ni kipimo cha akili.
ma kumdumaze, sasa umeona hao ambao hawajapitia shida wanavyotamba, wakati wazazi wa kibongo wanakwambia lazima mwanangu apitie shida ili ajifunze, hawajui kuwa wanamdumaza mtoto kifikra.Uzuri wako umelinganisha akiri na utajiri. Mambo safi kinachomuokoa ni mkondo wake wa nyuma tu. Mfano mo atupwe polini na kajambanani mumoja hivi bila msaada kutoka nje yao. Je nani atatoka mapema na salama kupitia akili yake. Maana changamoto inakuwa sawa wote wametupwa polini
Waliosoma shule “kajambanani” kama ulivyotangulia kusema, na wakafanikiwa kupenya na kufanya vizuri huko juu(kwanza ni wachache) wengi wao wanakuwa ni purely gifted nakwambia.... shule nzima unakuta waliopenya kufika chuo kikuu ni wawili na hao unakuta brain ziko safi.