LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 337
- 656
Bill Gates aliwahi kuulizwa huwa anajiskiaje kuwa na pesa nyingi vile, akasema kwake yeye ile "big figure" iliyopo benki sio ishu sana. Anasema anafurahi kuwa kila anapoamka, anauwezo wa kula, kuvaa na kuwa na afya bora hvyo inamsaidia ku-focus zaid kwny kubuni vitu vipya na kuleta mawazo mapya kusolve changamoto za watu wengine.
In short, ugumu wa maisha unakuwekea limits za kufikiri. Kama huna namna ya kujikimu kupata mlo wa siku au sehem ya kulala(basic needs) sidhani kma utakuwa na utulivu wa akili kuwaza vitu vikubwa. Cku zote utawaza nitakula nini au nitalala wapi.