Je, ugumu wa maisha hudumaza akili au ni kipimo cha akili?

Bill Gates aliwahi kuulizwa huwa anajiskiaje kuwa na pesa nyingi vile, akasema kwake yeye ile "big figure" iliyopo benki sio ishu sana. Anasema anafurahi kuwa kila anapoamka, anauwezo wa kula, kuvaa na kuwa na afya bora hvyo inamsaidia ku-focus zaid kwny kubuni vitu vipya na kuleta mawazo mapya kusolve changamoto za watu wengine.

In short, ugumu wa maisha unakuwekea limits za kufikiri. Kama huna namna ya kujikimu kupata mlo wa siku au sehem ya kulala(basic needs) sidhani kma utakuwa na utulivu wa akili kuwaza vitu vikubwa. Cku zote utawaza nitakula nini au nitalala wapi.
 
Wape changamoto iliyosawa hao watu wawili ili tuone nani atapasua. We unadhani nikwanini waliosoma kajambanani wakifika chuo hufanya vizuri kuliko waliosoma shule mambosafi?
Story za vijiweni hizi
 
Ni kweli aliitafsri kwa mtazamo mwingine.Ila maana yake ilikuwa kwamba ukipambana na changamoto za maisha ndo unapata ubunifu zaidi.
Ila kwa mujibu wa mtazamo wa mtoa mada ni kweli kabisa.Angalia mtu kakuzwa kwa kuchunga ng'ombe,ukubwani hataki maendeleo ya kisasa!!
IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…