GIRITA unasumbuka bure
Dunia imekuwa kijiji
Hao waliojilipua akitaka kurudi kuishi bongo anaweza vizuri tu ni mtindo wa kuoa kuolewa work permit uwekezaji anaishi vizuri tu mbona
Utaifa sio karatasi ni mioyoni ndio upo utaifa
Na hao watakaowashughulikia ndugu wa huyo wanaedai mkimbizi wataishia kuwalipa fida kwani watakosa ushahidi
Ni hivi upo huru kuishi kokote
Wenzetu wazungu ukiwapelekea stori sijui namjua kwao sijui wapi watakuambia usiwasumbue fanya kazi punguza umbea
Haya mambo yapo ulimwengu wote sijui kwa nini bongo iwe exceptional