Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
kwa hiyo sio lazima ukate mtandaoni sio?Basi sio kama ndege ndugu.unaweza ukakata tiketi ya kitu cha ajabu mpaka mwenyewe ukashangaa.mi uwa nikifika front, baada ya kuliona gari lenyewe linalondoka muda huo ndo nakata tiketi.
we nenda stendi utakuta mabasi mengi tu unachagua unalotaka.wala haina haja ya kukata mtandaonikwa hiyo sio lazima ukate mtandaoni sio?
Inategemea unaenda mkoa gani? Mfano kwa sisi tunaopenda safari za Dom , shabiby unakata tiketi mtandaoni fresh tuu, hamna shida yoyote mkuuHabari zenu wakuu,
Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya bgasi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi.
Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa?
Na je, ukikata tiketi hizi kuna changamoto gani unaweza kukumbana nazo?
Ni hayo tu wakuu, naomba majibu kwa wenye ufahamu.
Kweli kabisawe nenda stendi utakuta mabasi mengi tu unachagua unalotaka.wala haina haja ya kukata mtandaoni