Habari wadau wote wa hapa
Nimeuliza swali nahitaji kila mdau aseme aonavyo kuhusu UKAUZU unakuwaje au unaanzaje?
Karibuni kwenye kijiwe chetu leo sifundi kabisa bali tuko kwenye kuchangamshana na kuulizana
kufunda wiki ijayo nitakuja na somo maridhawa juju ya kumthibiti mwanaume wako wa ukweli?
karibuni katika mada isemayo je ukauzu unaanzaje?